Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

Umemkosea Mungu umemkosea kinana
 
Hogera sana Msigwa kwa uungwana wa kukiri makosa. Umeonesha njia sahihi ya kuponya roho na nafsi za wanaoumizwa kwa madai yasiyo na uthibitisho au ushahidi. Na wengine wafuate njia uliyotuonesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo povu lote like ni uongo? Ni Mambo mangapi ya uongo mmetuaminisha watanzania?na mengine yamewaletea matatizo ya kisheria watanzania kwa kunukuru kauli zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnashabikia wazushi na waongo! Ni aibu kiongozi wa chama cha upinzani kudanganya umma! Nani atawaamini kukabidhi nchi waongo. Ningelikuwa wewe kuanzia leo ningelikaa kimya
Huwezi kuwa mimi.
 
Duh Billionaire, kwa biashara gani, clearing and forwarding company. Dry cleaning kesha funga, ndio ni mwenye uwezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua kwamba anawakilisha.kampuni.ngapi za meli?
Unajua kila meli ikitia nanga anakata kiasi gani cha consolidation fees?
Unajua kwamba kila meli.anakata kiaai gani kama service charge kwa kila B/L?
Yote hayo ni kwa USD
Acha kuangalia watu kijuu juu tu kama alivyofanya msigwa
 
Akili kubwa inakuwa misled kwenye serious insue kama hii
 
Dah sijui kapewa Tsh ngapi...Yani seriously uonge bila hata tone la ushahidi
 
Unajua ukweli ukijitokeza uongo unajificha, lakini TZ, uongo hauna aibu hadi ukweli unaona haya na kujificha.

Hilo shirika la diamond shipping wako ubia yeye na kampuni ya njee inayoitwa sharaf Shipping, yeye ni 40% kwa tanzania tuu. Kwa mwezi mzima wanaweza kupokea 10 hadi 20 kutegemea na biashara zilivyo.

Ndugu sidhani kuna ukweli kwa usemalo, tunaweza kukubaliana kuwa ni mtu mwenye uwezo na anajimuudu, analo shirika la internet broadband renting kama sikosei. Na anaweza kuwa na hisia kwenye makampuni mengi na yakamletea mapato.

Kitu muhimu kwenye uzi huu ni kuwa yeye na msigwa wamesameheana kiungwana, tuwaombee kheri na tuombe wanasiasa wetu wawe watu wakweli na kuweza kuwa huru kupigania haki za wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la kuinyanyua NCCR ki-ukabila ndo tatizo jingine la kabila hili. Piga-ua wao ni lazima wamfuate wa kabila lao. Asipofanya hivyo wengine wanasema kanunuliwa. Hiyo ndo inamfanya Mbowe asifiwe kila siku hapa JF.

Ni kabila lao na siyo kwamba ni bora kama inavyooneshwa. Eti anaitwa ni mwamba, wakati kila leo ana tuhuma za kula pesa za wenzake.

Hakika iliyopo ni kwamba mtu hawezi kuwa rais kwa kuchaguliwa na kabila moja, idadi yao ikiwa haifiki hata milioni 3. Never!
 
Mchungaji tapeli. Wanasaccos tuliwaeleza mapema kuwa Saccos tunaizika October 2020 sasa naona mmeanza kuona dalili za wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…