Mchungaji Msigwa aliondoka CHADEMA kwa kukosa Cheo na anaondoka CCM kwa kukosa Cheo na anarudi CHADEMA kusaka Cheo

Mchungaji Msigwa aliondoka CHADEMA kwa kukosa Cheo na anaondoka CCM kwa kukosa Cheo na anarudi CHADEMA kusaka Cheo

tunaendelea kuonya hapa CHADEMA wasiwakaribishe,wasiwapokee mara ya pili WASALITI

CDM wasilambe matapishi...

By the way vyama vipo vingi kwanini wasaliti wote wasirudi CHAUMA waje chadema walipopasaliti...MSIMAMO na kuchagua MOJA hata kama umekosea..ulishasaliti chadema ..ukakimbilia CCM ukitarajia utapata vyeo na pesa nyingi za KUJIUZA KIMALAYA...
badala yake unagundua wameku fuc**k bure bila kukupa vyeo wala mapesa mengi wame kutreat kama malaya which in fact ndiyo inavyostahili kumtreat malaya ...
sasa KWA KUKOSA AIBU na HATA MSIMAMO katika kukosea unataka urudi tena chadema...??? CHAGUA MOJA sio vyote unataka ..hata kama umekosea ,JANA ULISEMA CHADEMA HAIFAI,ULISHASEMA chadema HAIFAI ,
LEO UNAKUJA kutuambia chadema inafaa na unataka kurudi tena ...hivi mnawachukuliaje wananchi??

N:B MSALITI NI MTU MBAYA SANA ..kuliko hata mwizi ,kuliko hata mchawi...MSALITI HAFAIIII KABISAAA POPOTEE PALE...msaliti sio binadamu wa kawaida...Hafaiiii kabisaaaa
 
JamiiForums Tanzania
Jukwaa la Siasa
Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA
Thread starterHeparin Start dateYesterday at 10:26 PM Tagsbiblia chadema msigwa peter msigwa petro siasa
First
Prev
6 of 7
Next
Last
Summarize Thread (AI)
Unsubscribe

•••
Kalamu
Platinum Member
Today at 5:41 AM
Add bookmark
#101
Pulchra Animo said:
Msigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
But even after Mbowe; what did this idiot do?
What he did is what matters most.

Try and remind yourself; there are a few examples of his utterances in this forum against CHADEMA when he was trying hard to impress his new masters!
Thanks
Reactions:
Ileje and Matrix19
Kalamu
Platinum Member
Today at 5:54 AM
Add bookmark
#102
Titicomb said:
Heshima yake imeshuka sana.
Ni sahihi zaidi tukisema "IMEPOTEA".

'Turncoats' wa namna hii ndani ya chama, tena akitegemea uongozi ndani ya chama?
Thanks
Reactions:
MgosiMnubi and Titicomb
MgosiMnubi
MgosiMnubi
JF-Expert Member
Today at 6:20 AM
Add bookmark
#103
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
NOMA SANA.....kiruuuu!?
digba sowey
digba sowey
JF-Expert Member
Today at 6:26 AM
Add bookmark
#104
King Nkondo said:
Kundi la heche huyo wanakitaka kiti cha lissu ndomana wanapinga maridhiano ili lissu aendelee kuozea jela
Hii nayo ni propaganda,sasa maridhiano ndo yamemuweka lissu kifungoni!?

Lissu mbona keshasema yeye yuko tayari kwa lolote lile serikali ya dharimu Samia itafanya juu yake ila sio kupiga magoti!
Thanks
Reactions:
King Nkondo
Kennedy
Kennedy
Platinum Member
Today at 6:48 AM
Add bookmark
#105
😄😍😃😂😅😁😆🤪🤣🤣😃😂😅😅
Lavit
Lavit
JF-Expert Member
Today at 6:54 AM
Add bookmark
#106
S.M.P2503 said:
Naona Lissu ataachiwa kabla ya mwisho wa mwezi wa 6. Ccm imekwisha yapanga majembe Yao yarudi cdm na waende kumthibiti huyo Lissu. Nafikiri huu ndio mpango wao, yaani kuhakikisha kwamba akiachiwa Huru hana madhara Tena Kwa ccm maana tayari virus wao watajua kupambana naye ndani kwa ndani huko chadema. Ni maoni yangu tu . Povu ruksa.
Click to expand...

Ulivyomalizia hapo mwisho huo ni utoto, mtu mzima huwezi andika hoja alafu unaleta habari za “povu ruksa”
Thanks
Reactions:
S.M.P2503
Kipondo Cha ugoko
Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
Today at 7:13 AM
Add bookmark
#107
Heparin said:
View attachment 3593736
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.

Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.

Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.

Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.

Soma Pia:
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu
Asanteni Sana.
Click to expand...
Msigwa angepewa ka cheo CCM angeyaona yote hayo? Hata kama karejea ila sio wa kumwamini, labda mniambie alikuwa huko kwa kazi maalumu
Thanks
Reactions:
You and Blank page
polokwane
polokwane
JF-Expert Member
Today at 7:18 AM
Add bookmark
#108
Mbaga Jr said:
Kama chadema wakimpokea, bc chadema watakuwa Wapumbavu mno.

N watu gani hawa wanashindwa kujifunza kutokana na makosa yao wnyw, yale yale ya 2015 yanarudi.

Sasa vp waliokuwa wanamtukana na kumuona n mpumbavu akina Erythrocyte watasemaje Sasa 😂
Click to expand...
Jifunze siasa, chama cha siasa hakikatai mwanachama hata angeondoka na kurudi mara 10 ila hawezi tena kuipata nafasi ile aliyo iacha
BLACK_
BLACK_
JF-Expert Member
Today at 7:50 AM
Add bookmark
#109
Titicomb said:
Heshima yake imeshuka sana.
Imepotea kabisa,anaonekana kama snitch na snitch huwa ni panya lazima hapuuzwe
Thanks
Reactions:
Titicomb
Titicomb
Titicomb
JF-Expert Member
Today at 7:58 AM
Add bookmark
#110
King Nkondo said:
Kundi la heche huyo wanakitaka kiti cha lissu ndomana wanapinga maridhiano ili lissu aendelee kuozea jela
Wewe mnafiki na mchonganishi.
Msigwa hajakosa akili kiasi cha kufikiria akirudi CHADEMA atafikiriwa kuwa mwenyekiti.
Kibwengo260
Member
Today at 8:29 AM
Add bookmark
#111
Good news
The mission 2017
The mission 2017
JF-Expert Member
Today at 9:36 AM
Add bookmark
#112
Siasa ndivo zilivyo, Msigwa alikua CCM lkn damu yake ilikua CHADEMA you can tell this.

Binafsi napenda dynamic political system kama ya kenya, mnaacha vyama pembeni mnatengeneza alliances wakati wa kampeni.

Hii ya kufanya chama kama kabila ni hatari.
Thanks
Reactions:
Titicomb and zitto junior
zitto junior
zitto junior
JF-Expert Member
Today at 9:42 AM
Add bookmark
#113
Mbaga Jr said:
Kama chadema wakimpokea, bc chadema watakuwa Wapumbavu mno.

N watu gani hawa wanashindwa kujifunza kutokana na makosa yao wnyw, yale yale ya 2015 yanarudi.

Sasa vp waliokuwa wanamtukana na kumuona n mpumbavu akina Erythrocyte watasemaje Sasa 😂
Click to expand...
Apokelewe tu mkuu, huyu alienda CCM ila moyo wake ulikua chadema. Nadhani baada ya Mbowe kuanguka hakua na sababu tena ya kubakia CCM.
Thanks
Reactions:
Titicomb and Mbaga Jr
a sinner saved by Christ
a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
Today at 9:47 AM
Add bookmark
#114
Tulishaonya hapa kuhusu kuwapokea WASALITI,msaliti HAAMINIKI,usaliti ni ROHO CHAFU ya LAANA NA MAUTI,KIFO cha utu wako,heshima yako,kifo cha character yako,character suicide/self assassination,MSALITI ni walking dead,MSALITI ni mtu anaye UZA UTU WAKE,anayeuza TRUST YAKE ,MSALITI NYERERE ALIMUITA MALAYA WA KISIASA,DHAMBI YA USALITI NYERERE ALIIFANANISHA NA KUONJA KULA NYAMA YA MTU..

MSALITI sio binadamu wa kwaida msaliti hana akili timamu hajielewi hana MSIMAMO haelewi wala hasimamii katika kile ANACHOKIAMINI na kile alichoaminiwa,MSALITI ANAJITOA UFAHAMU,anajizima data ,anajitoa akili,
MSALITI NI COWARD...
Msaliti hashindwi kumuuza hata mke wake au familia yake ..huyu YUDA
MSALITI ni MTU MBAYA SANA...hafai popote...MNAFIKI huyu msaliti ni mbaya sana,

KAA MBALI NA YUDA MSALITI..MSALITI HAFAI KABISAAAAA mnafiki,hakawii kukuchomesha ,hata familia ya mnafiki msaliti haipaswi kumuamini mana USALITI NI ROHO...roho chafu ya mapepo ,Roho iliyomuongia YUDA akamsaliti mwana wa adamu kwa vipande thelathini vya pesa .

unamsaliti LISU nabii wa Mungu moakwa mafuta ,mbeba maono ,unasaliti imani ya wananchi wako walioiweka kwako..unajisaliti nafsi yako mwenyewe imani yako mwenyewe .kwa VIPANDE VYA PESA na tamaa ya madaraka,..unatangaza chuki juu ya watakatifu..kama lisu ..huu ni u UAJI tayari...MSALITI HAFAI KABISAAA...HAFAI HAFAI
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ambacho Hamkijui Ni Kuwa Mchungaji Peter Msigwa aliondoka CHADEMA kutokana na Kukosa Cheo cha Uwenyekiti Wa kanda ya Nyasa baada ya kudondoshwa na kugaragazwa vibaya na Sugu. Alipoona Amekosa Cheo Mkononi Mwake akaamua kutimua Mbio kali sana Kuja CCM kwa matarajio ,imani na Matumaini ya kuwa atapata nafasi ya Uteuzi kwa haraka sana.

Tena alitarajia pengine angeweza kuteuliwa kupeperusha Bendera ya CCM kuwania Ubunge Jimbo la Iringa Mjini ambalo aliliongoza Bila mafanikio kwa Miaka Kumi Mfululizo. Sasa Baada ya Kukaa CCM na kuona hapati uteuzi wala Matumaini ya kupata uteuzi wa aina yoyote ile. hasira zikamjaa na kuanza kuandika porojo mitandaoni ili pengine aangaliwe na kukumbukwa kwenye Uteuzi wa haraka na Dharura. Lakini akaona hakuna mwenye habari naye wala wa kumpa sikio wala wakumzingatia wala kumbembeleza.

Akaona watu wapo Bize na ujenzi wa CCM tena kwa kujitolea kwa bidii pasipo malipo wala kudai malipo .jambo ambalo yeye alikuwa hajalizoea hata siku moja . Kwasababu yeye kwa asili ni mjasiriasiasa na mchumia tumbo anayefanya siasa kwa ajili ya kushibisha na kuneemesha Tumbo lake. Alikuta CCM tunafanya kazi kwa moyo wa kujitolea bila kuuliza malipo ama fadhila ama kuomba uteuzi wala kulalamika kwa kunyimwa Uteuzi.

Wakati yeye kwa akili yake alijua kuwa pengine kuwepo kwake ndani ya CCM pengine watu watampapatikilia au kumshobokea na kuanza kumpa Uteuzi wa haraka Haraka.

Alichokuwa hakijui ni kuwa CCM ina Hadhina kubwa sana ya watu wenye Uwezo wa kuwa viongozi na wenye uwezo wa kushika nafasi mbalimbali za kiuongozi ndani ya chama na ndani ya serikali. CCM haijawahi kuwa na upungufu wa rasilimali watu hata siku moja. CCM haijawahi kuwa na uhaba wa watu wa kuongoza ama kushika nafasi fulani ya kiuongozi. CCM ni Tanuri la kupika viongozi wake kuanzia chipukizi hadi ndani ya chama.

CCM haigawi vyeo kama Njugu ama kama Fadhila ama kama hisani ama kama zawadi . Bali hugawa Majukumu kwa mtu kulingana na uwezo wa mtu husika na uwezo wa kumudu majukumu ya kazi husika na mahitaji ya nafasi . Mtu anapimwa kwa uwezo wake ndipo anapewa nafasi ya kuongoza eneo fulani na siyo kwa upendeleo.

Tofauti na CHADEMA ambako kule ni zoazoa kama madodoki yasiyoweza kuchuja uchafu. CCM unapimwa katika mizani ndipo unapewa nafasi wakati CHADEMA wao hata ukihamia leo unapewa nafasi ya kugombea Urais hata kama bado hujajua hata salamu ya chama na imani ya chama ama falsafa ya chama ama katiba ya chama na hapa mnaweza kurejea kilichotokea na kufanyika 2015.

Hii ni kwa sababu CHADEMA ina uhaba wa rasilimali watu wenye uwezo wa kiuongozi na kuweza kushika nafasi za kiuongozi. Ukitaka ujue hili angalia na fuatilia hata Elimu za viongozi wake . Utakuta ni wale wenye Elimu za hapa na pale na ambao hata hawaeleweki walianzia wapi wakaishia wapi. Utakuta Historia za Elimu za watu wake ni za kuunga unga kama Gundi na kukatika katika kama Moshi angani .

Ndio maana watu kama Msigwa wanajikuta wakipata vyeo ndani ya CHADEMA kwa sababu watu wa kuongoza na wenye sifa za kiuongozi ndani ya CHADEMA hawapo. Lakini alipokuja CCM akajikuta hana sifa wala uwezo wa kupata uteuzi na kwa ufupi ni kuwa alikuwa hateuliki, kwa sababu hana uwezo na sifa za kuwa kiongozi ndani ya CCM na serikali ya CCM. Wenye uwezo ni wengi sana ndani ya CCM. Peter msigwa alikuwa hana uwezo wa kuwa hata Balozi ndani ya CCM kwa sababu ni mkurupukaji, Mropokaji,mwenye mihemko ba asiye na utulivu kichwani unaomhitai kiongozi kuwa nao kabla ya kufanya maamuzi ya jambo lolote lile.

Sasa utakuwa wewe ni Mwendawazimu na kichaa ikiwa utamuamini leo Msigwa . Ikumbukwe nimesema kinachofanya msigwa akae na wewe ni cheo na maslahi tu na maslahi yakiisha ama akikosa cheo lazima akukimbie na kukusaliti. Ndio maana CCM baada ya kulijua hilo ilimpokea tu na kumuweka kabatini mpaka alipoamua kukimbia Mwenyewe.

CCM itaendelea kubakia chama kiongozi barani Afrika katika kuandaa viongozi wake na kuwakuza na siyo kusubiria Marejects ama watu wenye uchu wa madaraka.

Hata huko CHADEMA atawavuruga sana atakapokosa Cheo maana ikumbukwe ya kuwa msaliti ni msaliti tu siku zote na hawezi kubadilika hata siku moja. Ndio maana wasaliti huwa wanauwawa Majeshini maana mwenye akili Timamu haupaswi Kumuamini msaliti . Ukimuamini msaliti atakuona wewe ni Mjinga sana kwa sababu anajua kesho atakusaliti Tena.

Alikuja peke yake CCM na ameondoka peke yake kama alivyokuja Mwenyewe. Ametuacha wana CCM kama alivyotukuta wana CCM tukiwa na umoja ,upendo , ushirikiano na mshikamano. Huo ndio utamaduni wetu CCM na ndio historia yetu ilivyo. Hatupapaliki na mtu .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3593954
Msigwa ni takataka
Na ulichoandika ni takataka
 
YUDA
 
Attachments

  • images - 2026-05-24T145445.446.jpeg
    images - 2026-05-24T145445.446.jpeg
    26.2 KB · Views: 12
  • images - 2026-05-24T145528.535.jpeg
    images - 2026-05-24T145528.535.jpeg
    28.2 KB · Views: 9
  • images - 2026-05-24T145538.784.jpeg
    images - 2026-05-24T145538.784.jpeg
    31.8 KB · Views: 12
  • images - 2026-05-24T145725.478.jpeg
    images - 2026-05-24T145725.478.jpeg
    34.9 KB · Views: 12

Mmojawapo wa masusi waloitumwa ndani ya CCM kuusoma mchoro wa vita. CCM sasa hivi imeshaingia katika mfumo wa CDM
 
CCM muachage kukandia wanachama wenu wanaohamia upinzani. Msigwa ni mwanachama wenu yuko huru kujiunga na chama chochote cha siasa nchini atakachoona anapata nafasi ya kufanya siasa
 
CCM muachage kukandia wanachama wenu wanaohamia upinzani. Msigwa ni mwanachama wenu yuko huru kujiunga na chama chochote cha siasa nchini atakachoona anapata nafasi ya kufanya siasa
Huyo kwanza hajakulia ndani ya CCM. Ni msaka tonge na mchumia tumbo tu
 
Mmojawapo wa masusi waloitumwa ndani ya CCM kuusoma mchoro wa vita. CCM sasa hivi imeshaingia katika mfumo wa CDM
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu vile . CCM ni baba lao
 
Na CHADEMA sio sehemu ya kusaka vyeo , hivyo awe mpole.

CHADEMA ni chama cha mageuzi wewe kunguni wa Samuya.
 
Na CHADEMA sio sehemu ya kusaka vyeo , hivyo awe mpole.

CHADEMA ni chama cha mageuzi wewe kunguni wa Samuya.
CHADEMA ni kusanyiko la wasaka tonge ,wachumia tumbo na watu waliojaa msongo wa mawazo na kujikatia tamaa kabisa . Ndio maana muda wote wanaporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu
 
CHADEMA ni kusanyiko la wasaka tonge
CHADEMA haina chawa unalijua hilo?
,wachumia tumbo na watu waliojaa msongo wa mawazo na kujikatia tamaa kabisa
Hizi ndio sifa zilizopo chama cha majambazi na sifa hizi unazo wewe kwa 100 % ndio maana ulikua unaweka hapa kinamba chako cha simu.

Tueleze kwanini ulikua unaweka hapa kinamba chako cha simu au ulikua unajiuza?

Wewe ni kamalaya kalikokua kanatafuta soko ndio maana ukawa unaweka namba humu na ulivyopuuzwa ukaacha.

Kama unabisha sema hapa nitag nyuzi zako zenye kile kinamba chako cha simu wewe kidampa.
. Ndio maana muda wote wanaporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu
Matusi sikua nayapenda sana , ila nilipogundua matusi ndio lugha pekee inayowumiza chama cha majambazi sasa hivi anayetukana namuunga mkono.

Watu wengi walitumia lugha laini kukosoa mwisho wa siku mmeishia kuwateka na kuwaua.

Akina Soka, Dioniz Kipanya, Kaswahili, Polepole hawakuwahi kutukana mtu ila wote mliwateka na kuwaua.

Hivyo jinsi mnavyoumia na matusi ndio na CHADEMA wanaumia mara 100 kwa utekaji na mauaji ya chama cha majambazi .
 
Back
Top Bottom