Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #81
Wenyewe ndio sisi SasaSina mawazo, CCM ina wenyewe
Wenyewe ndio sisi SasaSina mawazo, CCM ina wenyewe
Hahahahaaa! Endelea hivyo hivyo, watakupa ukatibu kata.Wenyewe ndio sisi Sasa
Mimi sitafuti cheoHahahahaaa! Endelea hivyo hivyo, watakupa ukatibu kata.
😂😂😂😆😆😆😆
Mliambiwa hapa mkajifanya mnatetea...
Kiko wapi?
Haswaaa.Siasa ni cheo, ukimuona mwanasiasa hataki cheo huo sio mwanasiasa, mtizame Nape hivi sasa anavyoishambulia ccm, akipata uwaziri tu atabadilika
😂😂😂Yes kila mtu anataka cheo,
Hata ww unapambana hapa kila siku kuandika sifa na mapambio yako ili upate cheo
Sasa bahati mbaya Rais anateua NCCR na anakuacha ww na mapambio yako hapa
😂😂😂Sikutegemea ipo siku nitakubaliana na Mwashambwa, hata kama ni kwa sehemu.
😂😂😂Hahahahaaa! Endelea hivyo hivyo, watakupa ukatibu kata.