Wale wabunge wanaojinasibu kuwa ni vichwa lakini ni darasa la saba tu sio tu hao Mchungaji Msiwa aliwasema. Bali hata viongozi wengine ambao hawatumii kabisa akili zao na kuelimika kwao (darasani) kufanya mambo ya kama hawajaelimika kabisa.
Hawa watu ni dizaini ya Ndugai - yaani wanawategemea akina Musukuma, Lusinde, Kishimba and co ltd kuwajibia hoja bungeni.
Spika Ndugai ni msomi mzuri sana tu - tena alisoma zile kozi za maana ikionesha kuwa alikuwa ni kipanga huko sekondari - lakini ukweli ndiyo amekuwa Spika wa hovyo kuliko wote katika nchi yetu. Yaani nilikuwa ninaongea na mwanangu wa darasa la sita anamponda kabisa Spika Ndugai.
Hawa watu akina Musukuma, Lusinde na Kishimba wamekuwa na hoja za kusimamia misimamo yao isiyo ya kitaaluma kiasi kwamba wameanza kukosea sasa hata kama mwanzoni walikuwa wanaeleweka.
Hoja ya Kishimba ya kufundishwa kozi ya utoro ni kama sasa amelewa misifa ya hoja ambazo ameendelea kuzitoa huko mwanzoni ambazo kwa kiasi zilimnufaisha. Kwa sasa amelewa misifa.
Kwa ujumla nchi yetu inajali watu wote wenye uwezo wa kuchochea maendeleo ndiyo maana hata wasio wasomi wana nafasi na haki ya KiKatiba kugombea hata nafasi za ubunge na udiwani.
Hawajazuiwa - hata hivyo hicho kisiwe kigezo cha kuwafanya akina Ndugai kudharau watu na kuongoza bunge kwa namna apendavyo yeye.
Ndugai amekuwa ana vitisho sana sana. Tangu awamu hii iingie na inaongelea haki hata kwa wale walionyimwa kwa dhahiri kabisa imekuwa inamsumbua sana Ndugai kwa kuwa alifikiri Mungu ataendelea kuweka akili ndogo kuongoza nchi.
Mwenyezi Mungu kaleta akili kubwa inayozingatia misingi ya utawala bora (good governance) Ndugai anatapatapa.
Historia inajiandika yenyewe. Na itakuwa ni aibu sana sana pale ambapo yeye mwenyewe Ndugai atalazimika kuwaondosha Covid 19 bungeni.
Kwa sasa nchi inaongozwa na akili kubwa!