Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Mnatapatapaa tuuu. Upinzani wenu hovyo kabisaa2015 yalipita tunayo ya 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatapatapaa tuuu. Upinzani wenu hovyo kabisaa2015 yalipita tunayo ya 2020
Exactly Zitto Kabwe amejimaliza kisiasa , hawezi kujisafisha hata kwa Jiki madoa ya usaliti hayatamtoka amekuwa Lipumba namba 2 .Mahali tulipofikia watanzania na uelewa uliopo,ZZK ni marehemu wa kisiasa.
Hata afanye hawezi kujisafisha
Kwa sasa, huyo Lowassa yupo wapi?Nakubaliana na hoja yake lakini pia bado nasubiria Msigwa na CHADEMA kwa ujumla kuwaomba watz msamaha kwa kumpokea Lowassa na kumfanya kuwa mgombea Urais mwaka 2015. I believe this was such a huge confusion and a contradiction...
IntelligentAkiongea na Darmpya, mchungaji Msigwa amekosoa vikali hatua ya Maalim Seif na Zitto Kabwe kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, Mchungaji Msigwa amekiita kitendo hicho kama ni flipfloping. Amesema ni kuwachanganya wananchi kutoa misimamo inayokinzana katika jambo lilelile....
Wamevuta dola milion 5 cash na Dalali wa mchongo wote ni Polepole akisaidiana na Zito kwa kifupi wamefanya biashara haramu ya kisiasaAkiongea na Darmpya, mchungaji Msigwa amekosoa vikali hatua ya Maalim Seif na Zitto Kabwe kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, Mchungaji Msigwa amekiita kitendo hicho kama ni flipfloping. Amesema ni kuwachanganya wananchi kutoa misimamo inayokinzana katika jambo lilelile....
Kavuta dola milion 5 kwenye Hilo Dili jipyaZitto alipotea kwenye siasa baada ya kutoka CHADEMA kwa sasa ni busy body tu
Mchungaji mzima haelewi kuwa Zitto na mbowe na maalim ni watu watatu tu ndiyo anaitaflipflop? Twaafwa!Akiongea na Darmpya, mchungaji Msigwa amekosoa vikali hatua ya Maalim Seif na Zitto Kabwe kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, Mchungaji Msigwa amekiita kitendo hicho kama ni flipfloping. Amesema ni kuwachanganya wananchi kutoa misimamo inayokinzana katika jambo lilelile....
Nilisha sema utamaduni wetu ni tatizo kubwa nitaongeaea. Utamaduni wa kuangaliana na kutokutaka mwenzako apate nao ni mbaya sana
Hichi ni kipimo na wala sio siasa au Chama. Kama utamwelewa vizuri hili ndilo tatizo kubwa tulionalo kitaifa fikra na utamaduni. Matatizo yote yana anza na fikra
Nadhani kwa sababu ya uchungaji roho inamsuta kutengeneza kiki ya uongoYeye bado hajatengeneza kiki ya kutishiwa ili aende kuishi kanada?
Wakikuambia ulete wachungaji, utaleta huyu jamaaa? Toka aliposema watakao muunga mkono lowasa wapimwe akili, halafu akamkubali, pale alipoteza utumishi wa kirohooo.Nadhani kwa sababu ya uchungaji roho inamsuta kutengeneza kiki ya uongo
Hahahahahaha mkuu sio kwa dongo hilo😂😂😂😂Wakikuambia ulete wachungaji, utaleta huyu jamaaa?? Toka aliposema watakao muunga mkono lowasa wapimwe akili, halafu akamkubali, pale alipoteza utumishi wa kirohooo
Wakikuambia ulete wachungaji, utaleta huyu jamaaa?? Toka aliposema watakao muunga mkono lowasa wapimwe akili, halafu akamkubali, pale alipoteza utumishi wa kirohooo