johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lakini hapohapo unaambiwa siasa siyo uadui; ni sanaa. Mama wa Kizimkazi yuko kazini kwelikweli.Hapo ndio Mbowe ataelewa kwamba mama ni mnafiki. Huku anamuwezesha ashinde CHADEMA huku anampa Msigwa jukwaa la kumpaka matope
Sema Mbowe atakua uchi kabisaNdio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi
Kufikia 21 January Chadema itakuwa Uchi kabisa 🐼
Hasara kubwa sana kwa wewe kuwa DunianiSema Mbowe atakua uchi kabisa
Kuzaliwa kwako ni matumizi mabaya ya maniiHasara kubwa sana kwa wewe kuwa Duniani
Siasa ni Sayansi 😂🔥Hapo ndio Mbowe ataelewa kwamba mama ni mnafiki. Huku anamuwezesha ashinde CHADEMA huku anampa Msigwa jukwaa la kumpaka matope
Umesamehewa makosa yako yoteKuzaliwa kwako ni matumizi mabaya ya manii
Ndio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi
Kufikia 21 January Chadema itakuwa Uchi kabisa 🐼
Watamtimua huko CCM shauri yake..Msigwa anamshambulia Mbowe rafiki yake Mama Abduli?
Tutusa weweUmesamehewa makosa yako yote
UmesamehewaTutusa wewe
Watamtimua huko CCM shauri yake
Mbona anapora kura na kutuma "wasiojuulikana" kuteka na kuua?Lakini hapohapo unaambiwa siasa siyo uadui; ni sanaa. Mama wa Kizimkazi yuko kazini kwelikweli.
Usidanganye. Msigwa ni Team Lissu. Lissu na Lema ndio watetezi wake wakuu. Juhudi zote zilikuwa ili Lissu ashinde.Hapo ndio Mbowe ataelewa kwamba mama ni mnafiki. Huku anamuwezesha ashinde CHADEMA huku anampa Msigwa jukwaa la kumpaka matope
Anatambua kuwa Iringa kumebomolewa vibanda vya akina mama na chama kinalaumiwa?Ndio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi
Kufikia 21 January Chadema itakuwa Uchi kabisa 🐼
Rafiki wa Msigwa ni Lissu. Msigwa ni kada wa CCM. Lema amesema kuwa alikuwa anampigia Rais moja kwa moja. Pamoja na Kikwete na Pinda. Wote hao hawamtaki Mbowe. Bado mchezo hamjausoma?..Msigwa anamshambulia Mbowe rafiki yake Mama Abduli?
Sijui nani aliwaambia CCM kuwa Msigwa anataka kuuza sura kwenye mikutano ya CCM.Ndio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi
Kufikia 21 January Chadema itakuwa Uchi kabisa 🐼