Mchungaji Msigwa atakaribishwa rasmi CCM na Mkutano mkuu pia atahutubia na kuelezea Kwa uchache Chadema ni nini hasa wananchi wajue!

Mchungaji Msigwa atakaribishwa rasmi CCM na Mkutano mkuu pia atahutubia na kuelezea Kwa uchache Chadema ni nini hasa wananchi wajue!

Hapo ndio Mbowe ataelewa kwamba mama ni mnafiki. Huku anamuwezesha ashinde CHADEMA huku anampa Msigwa jukwaa la kumpaka matope
Lakini hapohapo unaambiwa siasa siyo uadui; ni sanaa. Mama wa Kizimkazi yuko kazini kwelikweli.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Machawa wa Mbowe wakitoka wakasema Mbowe alimpigia mke game inaenda hadi matuta
 
Atawagomea, maana anasubiri Lissu akiukwaa tu uwenyekiti anawabwaga anamrudia shost ake fasta.
 
Hapo ndio Mbowe ataelewa kwamba mama ni mnafiki. Huku anamuwezesha ashinde CHADEMA huku anampa Msigwa jukwaa la kumpaka matope
Usidanganye. Msigwa ni Team Lissu. Lissu na Lema ndio watetezi wake wakuu. Juhudi zote zilikuwa ili Lissu ashinde.

Amandla...
 
Ndio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi

Kufikia 21 January Chadema itakuwa Uchi kabisa 🐼
Anatambua kuwa Iringa kumebomolewa vibanda vya akina mama na chama kinalaumiwa?
 
Ndio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi

Kufikia 21 January Chadema itakuwa Uchi kabisa 🐼
Sijui nani aliwaambia CCM kuwa Msigwa anataka kuuza sura kwenye mikutano ya CCM.
Msigwa aliondoka Chadema kwa kukosa Cheo, na wazi amekwenda CCM kwa ahadi ya kupewa vyeo. Mkeka usome sasa!
 
Back
Top Bottom