Mchungaji Msigwa atakaribishwa rasmi CCM na Mkutano mkuu pia atahutubia na kuelezea Kwa uchache Chadema ni nini hasa wananchi wajue!

Mchungaji Msigwa atakaribishwa rasmi CCM na Mkutano mkuu pia atahutubia na kuelezea Kwa uchache Chadema ni nini hasa wananchi wajue!

..chama kimekuwa kikubwa sasa.

..Mbowe, na wenzake, walikuwa wanachukuliwa kama wanandugu.

..wale wamekutana kwenye siasa, na huenda watatengana kwa ajili ya siasa.
Inasikitisha sana. Shida ni kuwa hawajui kuwa ukubwa huo ndio unafanya hata watu wasio na nia njema kutaka kupata nafasi za uongozi. Madongo yote waliyotupiana ni faida kwa CCM. Watapigwa na hayo hayo.

Amandla...
 
Back
Top Bottom