Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Inasikitisha sana. Shida ni kuwa hawajui kuwa ukubwa huo ndio unafanya hata watu wasio na nia njema kutaka kupata nafasi za uongozi. Madongo yote waliyotupiana ni faida kwa CCM. Watapigwa na hayo hayo...chama kimekuwa kikubwa sasa.
..Mbowe, na wenzake, walikuwa wanachukuliwa kama wanandugu.
..wale wamekutana kwenye siasa, na huenda watatengana kwa ajili ya siasa.
Amandla...