Rafiki wa Msigwa ni Lissu. Msigwa ni kada wa CCM. Lema amesema kuwa alikuwa anampigia Rais moja kwa moja. Pamoja na Kikwete na Pinda. Wote hao hawamtaki Mbowe. Bado mchezo hamjausoma?
Amandla...
Msigwa ambaye ni mpambe wa Lissu 😂😂😂.Hapo ndio Mbowe ataelewa kwamba mama ni mnafiki. Huku anamuwezesha ashinde CHADEMA huku anampa Msigwa jukwaa la kumpaka matope
Na wote hao wanalalamika kwa nin mbowe anamaridhiano na samia. Wanasiasa ni wanafiki sana. Ukipenda siasa bakia kwenye misingi tu hutayumbishwa.Rafiki wa Msigwa ni Lissu. Msigwa ni kada wa CCM. Lema amesema kuwa alikuwa anampigia Rais moja kwa moja. Pamoja na Kikwete na Pinda. Wote hao hawamtaki Mbowe. Bado mchezo hamjausoma?
Amandla...
Rais anamuita Lema mwanae...Na Raisi akampigia Mbowe na kumpa 150 mil kwa ajili ya Kanisa.
Rais anamuita Lema mwanae.
Amandla...
Delila alimmaliza Samsoni huku akimvulia chupi na denda juu.Hapo ndio Mbowe ataelewa kwamba mama ni mnafiki. Huku anamuwezesha ashinde CHADEMA huku anampa Msigwa jukwaa la kumpaka matope
Tundu amekiri dhambi moja.Ndio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi
Kufikia 21 January Chadema itakuwa Uchi kabisa 🐼
Kumbe wote ni ndugu zake? Sasa shida iko wapi? Rais anaonekana ana upendo kwa kila mmoja wao...Raisi anamuita Mbowe mdogo wake.
Kumbe wote ni ndugu zake? Sasa shida iko wapi? Rais anaonekana ana upendo kwa kila mmoja wao.
Amandla...
Lakini hapohapo unaambiwa siasa siyo uadui; ni sanaa. Mama wa Kizimkazi yuko kazini kwelikweli.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Msanii. Kwa nini asikiri tu kuwa alihusika? Kila wakati anataka kujionyesha kuwa yeye ni mtakatifu. Akiwa Mwenyekiti halafu akaona mambo hayaendi kama alivyo ahidi atawatupa wenzake chini ya basi. Wote hao wakina Lema na Heche wataangushiwa jumba bovu.Tundu amekiri dhambi moja.
Kuwa alikuwa wa mwisho yeye na Mnyika kujulishwa kuhudu Lowassa na alwalijikuta kuwa wajumbe wote wametaarifiwa na wamekubali.
Amekiri naye alifanya kosa
Kwa ahadi zilivyokuwa zikitoka mikoani nilijua Mbowe hapati kitu.Dk za jiooooni lisu anapga chuma cha pili na game imeisha lisu 2- dj 1
Tatizo unataka kumsafisha Mugabe wakoMsanii. Kwa nini asikiri tu kuwa alihusika? Kila wakati anataka kujionyesha kuwa yeye ni mtakatifu. Akiwa Mwenyekiti halafu akaona mambo hayaendi kama alivyo ahidi atawatupa wenzake chini ya basi. Wote hao wakina Lema na Heche wataangushiwa jumba bovu.
Amandla...
Hiyo ni kweli.
Amandla...
Kweli kabisa. Wengine tulidhani Chadema ni above that lakini unfortunately tumegundua kuwa ni wale wale...urafiki wa kisiasa huwa hauishi vizuri.
..mwisho wa siku interests na alliances hubadilika na urafiki huvunjika.
..angalia jinsi Kikwete na Lowassa walivyovurugana.
..Prof.Lipumba na Maalim Seif Sharrif walivyokosana.
Kweli kabisa. Wengine tulidhani Chadema ni above that lakini unfortunately tumegundua kuwa ni wale wale.
Amandla...