Mchungaji Msigwa atakaribishwa rasmi CCM na Mkutano mkuu pia atahutubia na kuelezea Kwa uchache Chadema ni nini hasa wananchi wajue!

Mchungaji Msigwa atakaribishwa rasmi CCM na Mkutano mkuu pia atahutubia na kuelezea Kwa uchache Chadema ni nini hasa wananchi wajue!

Rafiki wa Msigwa ni Lissu. Msigwa ni kada wa CCM. Lema amesema kuwa alikuwa anampigia Rais moja kwa moja. Pamoja na Kikwete na Pinda. Wote hao hawamtaki Mbowe. Bado mchezo hamjausoma?

Amandla...

..Na Raisi akampigia Mbowe na kumpa 150 mil kwa ajili ya Kanisa.
 
Hapo ndio Mbowe ataelewa kwamba mama ni mnafiki. Huku anamuwezesha ashinde CHADEMA huku anampa Msigwa jukwaa la kumpaka matope
Msigwa ambaye ni mpambe wa Lissu 😂😂😂.

Siasa bado haihitaji uwe na mahaba zaidi ya basics.

Msigwa aliyesema mbowe anahadaa maridhiano na samia, mwenyewe kamkimbilia samia na anamtumikia sasa.

Msigwa huyo huyo ni mpambe wa lissu anayegombea chadema nafasi ya uenyekiti. Ila sigwa anaibagaza chadema ili ife. Sasa sijui anamtakia nini mpambe wake.
 
Rafiki wa Msigwa ni Lissu. Msigwa ni kada wa CCM. Lema amesema kuwa alikuwa anampigia Rais moja kwa moja. Pamoja na Kikwete na Pinda. Wote hao hawamtaki Mbowe. Bado mchezo hamjausoma?

Amandla...
Na wote hao wanalalamika kwa nin mbowe anamaridhiano na samia. Wanasiasa ni wanafiki sana. Ukipenda siasa bakia kwenye misingi tu hutayumbishwa.
 
Ndio taarifa zilizopo hapa Dodoma na huenda mchungaji Msigwa akazindua kitabu cha " Maisha ndani ya Chadema" chenye Siri nyingi mno zisizojulikana na wananchi

Kufikia 21 January Chadema itakuwa Uchi kabisa 🐼
Tundu amekiri dhambi moja.
Kuwa alikuwa wa mwisho yeye na Mnyika kujulishwa kuhudu Lowassa na alwalijikuta kuwa wajumbe wote wametaarifiwa na wamekubali.

Amekiri naye alifanya kosa
 
Unasema ukweriiiiiiii
Msema kweriiii ni mpenzii wa Mungu
Lakini hapohapo unaambiwa siasa siyo uadui; ni sanaa. Mama wa Kizimkazi yuko kazini kwelikweli.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Au nasema uongo ndugu zangu,?
 
Tundu amekiri dhambi moja.
Kuwa alikuwa wa mwisho yeye na Mnyika kujulishwa kuhudu Lowassa na alwalijikuta kuwa wajumbe wote wametaarifiwa na wamekubali.

Amekiri naye alifanya kosa
Msanii. Kwa nini asikiri tu kuwa alihusika? Kila wakati anataka kujionyesha kuwa yeye ni mtakatifu. Akiwa Mwenyekiti halafu akaona mambo hayaendi kama alivyo ahidi atawatupa wenzake chini ya basi. Wote hao wakina Lema na Heche wataangushiwa jumba bovu.

Tatizo unataka kumsafisha Mugabe wako
 
Hiyo ni kweli.

Amandla...

..urafiki wa kisiasa huwa hauishi vizuri.

..mwisho wa siku interests na alliances hubadilika na urafiki huvunjika.

..angalia jinsi Kikwete na Lowassa walivyovurugana.

..Prof.Lipumba na Maalim Seif Sharrif walivyokosana.
 
Kweli kabisa. Wengine tulidhani Chadema ni above that lakini unfortunately tumegundua kuwa ni wale wale.

Amandla...
 
Kweli kabisa. Wengine tulidhani Chadema ni above that lakini unfortunately tumegundua kuwa ni wale wale.

Amandla...

..chama kimekuwa kikubwa sasa.

..Mbowe, na wenzake, walikuwa wanachukuliwa kama wanandugu.

..wale wamekutana kwenye siasa, na huenda watatengana kwa ajili ya siasa.
 
Back
Top Bottom