F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Jan 17, 2025 #41 JokaKuu said: ..chama kimekuwa kikubwa sasa. ..Mbowe, na wenzake, walikuwa wanachukuliwa kama wanandugu. ..wale wamekutana kwenye siasa, na huenda watatengana kwa ajili ya siasa. Click to expand... Inasikitisha sana. Shida ni kuwa hawajui kuwa ukubwa huo ndio unafanya hata watu wasio na nia njema kutaka kupata nafasi za uongozi. Madongo yote waliyotupiana ni faida kwa CCM. Watapigwa na hayo hayo. Amandla...
JokaKuu said: ..chama kimekuwa kikubwa sasa. ..Mbowe, na wenzake, walikuwa wanachukuliwa kama wanandugu. ..wale wamekutana kwenye siasa, na huenda watatengana kwa ajili ya siasa. Click to expand... Inasikitisha sana. Shida ni kuwa hawajui kuwa ukubwa huo ndio unafanya hata watu wasio na nia njema kutaka kupata nafasi za uongozi. Madongo yote waliyotupiana ni faida kwa CCM. Watapigwa na hayo hayo. Amandla...