Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa wananchi na kinakabiliwa na mgawanyiko mkubwa wa ndani.
Akizungumza katika mahojiano na kituo cha redio cha Ebony FM mjini Iringa leo Jumamosi Machi 08, 2025, Msigwa amesema kuwa uongozi uliopita wa CHADEMA ulifanya makosa makubwa yaliyochangia kudhoofika kwa chama.
Amesisitiza kuwa chama hicho kinahitaji kuimarisha miundombinu yake kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi wowote.
"Katika siasa kuna political science na applied politics, political science ni nadharia lakini applied politics ni vitendo. Ukiangalia kwenye vitendo, uongozi uliopita wa CHADEMA ulishindwa na umekiharibu chama," alisema Msigwa.
Akitilia mkazo haja ya mshikamano ndani ya chama, Msigwa alidai kuwa CHADEMA imegawanyika katika makundi mawili baada ya uchaguzi wa hivi karibuni.
Amesema, chama hakiwezi kuandaa umma kwa ajili ya uchaguzi ikiwa viongozi wake wenyewe bado hawajafikia maridhiano.
Msigwa pia amekosoa mkakati wa "No Reforms, No Election" akidai kuwa ni mbinu dhaifu isiyoweza kuleta matokeo chanya kwa chama.
Ameendelea kwa kusema kuwa badala ya kususia uchaguzi, CHADEMA ilipaswa kwanza kuimarisha miundombinu yake na kuunganisha wanachama wake kabla ya kufikiria kushindana katika uchaguzi.
"Kazi ya kwanza sio kulipeleka Jeshi barabarani kwenye vita wakati bado hujaliandaa kwenye kambi yako," alifafanua.
Kauli hii ya Msigwa inakuja wakati ambapo mijadala kuhusu mwelekeo wa CHADEMA inaendelea kushika kasi, huku chama hicho kikijaribu kujipanga kwa chaguzi zijazo. Kauli yake inazua maswali makubwa juu ya umoja wa chama na mbinu zake za kisiasa katika kipindi hiki cha mpito.

Hili ndio zuzu la kutupwa,
Kwa watu kuuliwa kwake ni shere,
Watu kutekwa kwake ni sherehe,
watu kuenguliwa kwake ni sherehe,
Mawakala kutopewa barua za uteuzi kwake ni sherehe,
Matokeo kupinduliwa kwake ni sherehe,
Mawakala kutolewa nje ya vyumba vya kupigia kura kwake ni sherehe,
Washindi kutotangazwa na wasimamizi wa uchaguzi kwake ni sherehe,
Uchaguzi kusimamiwa na makada wa ccm kwake ni sherehe
Mtu kama huyo ni kumuogopa kama ukoma japo tunajua yote hii ni njaa na uroho wa madaraka.
WATANZANIA NCHI HII NI YETU SOTE, TUPUNGUZE UNAFIKI TUWEZE KUSONGA MBELE KAMA TAIFA, HUU UNAFIKI MNAOUENDEKEZA UNAPELEKEA KUPATA VIONGOZI WA HOVYO.
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa wananchi na kinakabiliwa na mgawanyiko mkubwa wa ndani.
Akizungumza katika mahojiano na kituo cha redio cha Ebony FM mjini Iringa leo Jumamosi Machi 08, 2025, Msigwa amesema kuwa uongozi uliopita wa CHADEMA ulifanya makosa makubwa yaliyochangia kudhoofika kwa chama.
Amesisitiza kuwa chama hicho kinahitaji kuimarisha miundombinu yake kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi wowote.
"Katika siasa kuna political science na applied politics, political science ni nadharia lakini applied politics ni vitendo. Ukiangalia kwenye vitendo, uongozi uliopita wa CHADEMA ulishindwa na umekiharibu chama," alisema Msigwa.
Akitilia mkazo haja ya mshikamano ndani ya chama, Msigwa alidai kuwa CHADEMA imegawanyika katika makundi mawili baada ya uchaguzi wa hivi karibuni.
Amesema, chama hakiwezi kuandaa umma kwa ajili ya uchaguzi ikiwa viongozi wake wenyewe bado hawajafikia maridhiano.
Msigwa pia amekosoa mkakati wa "No Reforms, No Election" akidai kuwa ni mbinu dhaifu isiyoweza kuleta matokeo chanya kwa chama.
Ameendelea kwa kusema kuwa badala ya kususia uchaguzi, CHADEMA ilipaswa kwanza kuimarisha miundombinu yake na kuunganisha wanachama wake kabla ya kufikiria kushindana katika uchaguzi.
"Kazi ya kwanza sio kulipeleka Jeshi barabarani kwenye vita wakati bado hujaliandaa kwenye kambi yako," alifafanua.
Kauli hii ya Msigwa inakuja wakati ambapo mijadala kuhusu mwelekeo wa CHADEMA inaendelea kushika kasi, huku chama hicho kikijaribu kujipanga kwa chaguzi zijazo. Kauli yake inazua maswali makubwa juu ya umoja wa chama na mbinu zake za kisiasa katika kipindi hiki cha mpito.
sure viongozi wapya chadema walipaswa kwanza kuvunja makundi na kuwaunganisha wanachama wake,
badala ya kuweka mbele utapeli wa pesa za maskini na dhuluma za kfikra, uhuru na haki za kikatiba za wanachadema kupiga kura uchaguzi mkuu October 2025🐒

Huyu alihamia ccm kwa jazba, na ajenda yake iliyokuwa inampa jukwaa huko ccm ni kumtukana Mbowe. Kwa bahati mbaya uchaguzi wa cdm umempora ajenda. Sasa hana thamani tena ndani ya ccm, hivyo inabidi aokoteze jambo la kumuweka kwenye ramani ya ccm ili apate ulaji.
Mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa mbunge wa jimbo la Iringa mjini na Mjumbe wa zamani wa Kamati kuu ya CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa vuguvugu la CHADEMA la No Reforms No Election lection ni mkakati butu usiotekelezeka, kutokana na namna ambavyo umeshindwa kwenda na wakati na kutokuwa shirikishi kwa wananchi.
Wakati wa mahojiano yake na Chombo kimoja cha habari, Mchungaji Msigwa ameeleza kuwa 'No Reforms No Election' imejaa nadharia, akimtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Tundu Lissu kuimarisha miundombinu ya chama, kuirejesha imani ya wananchi kwa chama hicho na kuomba uungwaji mkono wa umma wa vuguvugu hilo kabla ya kuamua kuhusu kampeni hiyo.
Aidha Msigwa pia amemkumbusha Lissu, aliyemuita rafiki yake akisema ni muhimu kutimiza ahadi yake ya kurejesha mshikamano ndani ya CHADEMA na kuondoa tofauti zilizotokana na uchaguzi wa ndani ya chama.
ni mpango ambao ni wajinga tu ndiyo wanaweza kuuelewa na kuunga mkono ukiwa na akili timamu unaona kabisa huu ni mchezo wa kitoto yaaani wakubwa wazima wanacheza kimchezo cha kitoto hebu fikiria sasa lissu na heche ndiyo wanacheza mchezo wa kitoto wa kujipikilisha au kombolela unaona nni jinsi gani wanatania umma