Mchungaji Msigwa: CHADEMA ni kama treni ya abiria, siyo lazima wasafiri wote wafike mwisho wa safari, wengine hushukia vituo vya njiani

Mchungaji Msigwa: CHADEMA ni kama treni ya abiria, siyo lazima wasafiri wote wafike mwisho wa safari, wengine hushukia vituo vya njiani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa Iringa Mjini amekifananisha chama chake na treni ya abiria.

Msigwa ambaye alikuwa anahojiwa na mtangazaji Godfrey Monyo wa ITV aliyehoji kwanini viongozi wa Chadema wanahamahama alisema abiria wa treni siyo lazima wote wafike mwisho wa safari kwani wapo watakaoshukia njiani.

Mchungaji Msigwa amesisitiza kuwa kuhama na kuhamia ni haki ya kikatiba waliyonayo raia wote hivyo hakuna cha ajabu katika hilo.

Chanzo: ITV Habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom