Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ya nini tena?
So what?!.Msigwa alikuwa karani wa Nyalandu!
Okoa NgorongoroLakini pia mnaweza kuendelea. Waondoeni lakini mfahamu kwamba power is not permanent. Huyu mama mnayeweza kumdanganya na kumpotisha atatoka tu madarakani. Hata 2059 atakapokuwa na miaka 100, atatoka tu.
HakikaMch. Msigwa ametoa ushauri mzuri sana.
watendaji wetu wanapaswa wawe imara ktk kusimamia sheria za nchi, wasipende kubembelezana, mwisho wa siku wataanza kuikejeli serikli.....ohhh!.....mara ohhh ...serikali imekuwa dhaifu.......legelege......
tusilegeee tuchukue hatua pale inapo bidi...kubembelezana hapana.
Wewe ulikuwa mlinzi wa NyalanduMsigwa alikuwa karani wa Nyalandu!
Yeye na Maulidi Kitenge wamelipwa pesa ndefu na mwarabu, mwarabu anataka kuichukua NgorongoroHuyu mwanamke analipwa ili kuendesha propaganda chafu dhidi ya wamasai wa Ngorongoro.
Kawafukuza na kaishia kuwaita ikulu na kuwafungulia saccos.Samia ameshafanya uamuzi mgumu mara moja tu wa kuwaondoa chinga mabarabarani..akiwaondoa na masai utakuwa ni uamuzi mgumu wa pili kwake...lakn kwanini tudekeze wanyama kwa kiwango hiki? yaani watu wafukuzwe kwny nchi yao kweli kisa wanyama ambao hata kwingne wapo! ni bora tuyakose hayo mapato yatokanayo kuliko impact ya kufukuza watu..kwanza hata hayo mapato yametufikisha wapi?
Jibu Swali,Environmental factors must remain consistent
Ndiyo wapi huko?Kwa Mtogole wapo wa kutosha sana.