Mchungaji Msigwa: Hatuwezi kuwa na wachoyo wachache wanaoona ng'ombe wao na biashara zao muhimu kuliko Ngorongoro yenye maslahi ya Taifa

Lakini pia mnaweza kuendelea. Waondoeni lakini mfahamu kwamba power is not permanent. Huyu mama mnayeweza kumdanganya na kumpotisha atatoka tu madarakani. Hata 2059 atakapokuwa na miaka 100, atatoka tu.
 
Hilo limepewa pesa na waarabu na serkali kukandamiza haki za wamasai
 
Mch. Msigwa ametoa ushauri mzuri sana.
watendaji wetu wanapaswa wawe imara ktk kusimamia sheria za nchi, wasipende kubembelezana, mwisho wa siku wataanza kuikejeli serikli.....ohhh!.....mara ohhh ...serikali imekuwa dhaifu.......legelege......
tusilegeee tuchukue hatua pale inapo bidi...kubembelezana hapana.
 
Lakini pia mnaweza kuendelea. Waondoeni lakini mfahamu kwamba power is not permanent. Huyu mama mnayeweza kumdanganya na kumpotisha atatoka tu madarakani. Hata 2059 atakapokuwa na miaka 100, atatoka tu.
Okoa Ngorongoro
 
Mch. Msigwa ametoa ushauri mzuri sana.
watendaji wetu wanapaswa wawe imara ktk kusimamia sheria za nchi, wasipende kubembelezana, mwisho wa siku wataanza kuikejeli serikli.....ohhh!.....mara ohhh ...serikali imekuwa dhaifu.......legelege......
tusilegeee tuchukue hatua pale inapo bidi...kubembelezana hapana.
Hakika
 
Hii nchi haitaenda popote kwa sababu watu wake hasa viongozi wana tamaa ndogo ndogo. Hawawezi kuthink critically. Ni watu wenye kupenda vitu virahisi rahisi.
 
Hayo mabilioni ya fedha yanayoingizwa si yameingizwa hao wamasai wakiwepo.

Sasa waondoeni tuone kama yataongezeka na kuwa matrilioni.
 
Samia ameshafanya uamuzi mgumu mara moja tu wa kuwaondoa chinga mabarabarani..akiwaondoa na masai utakuwa ni uamuzi mgumu wa pili kwake...lakn kwanini tudekeze wanyama kwa kiwango hiki? yaani watu wafukuzwe kwny nchi yao kweli kisa wanyama ambao hata kwingne wapo! ni bora tuyakose hayo mapato yatokanayo kuliko impact ya kufukuza watu..kwanza hata hayo mapato yametufikisha wapi?
 
Kawafukuza na kaishia kuwaita ikulu na kuwafungulia saccos.

Inashangaza sana namna fedha inaweza ondoa utu wa binadamu mwingine kabisa.
 
Kufukuza/kuhamisha watu zaidi ya laki moja ambao wameishi hapo toka kuzaliwa kwao, takriban nusu karne! sio jambo jepesi..labda kama ku-depopulate kwa kuwawekea by-laws za ukomo wa idadi ya mifugo kwa kila household..lakn ukifanya hamisha-hamisha ya kimabavu italeta shida.
 
Back
Top Bottom