johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ukweli usemwe tu gentleman,Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo
Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X
Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara wanaunga Juhudi lakini kwa sasa hutamuweza kamwe Steve Mengele Hata kama Madaraka Nyerere kamkataa😀
Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD
Ulale Unono 😀🌹
Makete tunailogelezea mbali hii mutu fupi.Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo
Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X
Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara wanaunga Juhudi lakini kwa sasa hutamuweza kamwe Steve Mengele Hata kama Madaraka Nyerere kamkataa😀
Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD
Ulale Unono 😀🌹
Huyo msigwa anajiaibisha tu mwanaume anayesimamisha hafanyagi hivyo hata siku moja hali ukijua kabisa kuwa CCM hawana jema,Alafu wanamwita mchungaji,sijui lkn kama ni mchungaji kweli mm sifahamu.Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo
Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X
Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara wanaunga Juhudi lakini kwa sasa hutamuweza kamwe Steve Mengele Hata kama Madaraka Nyerere kamkataa😀
Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD
Ulale Unono 😀🌹
naunga mkono hoja Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo
Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X
Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD
Ulale Unono 😀🌹
Mbowe ni firauni huko Chadema?Msigwa ameondoka Chadema na mimba ya Mbowe anadai matunzo.
Arudi tu chadema,au CCM watataka Hela yao irudi nae ameshaila?Mwili upo CCM wakati huo moyo na nafsi vipo CDM.