Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo
Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X
Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara wanaunga Juhudi lakini kwa sasa hutamuweza kamwe Steve Mengele Hata kama Madaraka Nyerere kamkataa😀
Msamehe Freeman Mbowe kama kuna lolote alikukosea kisha jikite sasa na mambo ya CCM na ikikupendeza kagombee Ubunge kwenu Makete kwa Msaidizi wa Dr Mwigullu PhD
Ulale Unono 😀🌹