Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha.
Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu ni kiongozi mwenye msimamo na hawezi kuomba msamaha kwa kosa ambalo, kwa mtazamo wake, hajalitenda. Aliitaka Serikali imuachie huru bila masharti yoyote.