Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Lisu hata waseme wanamuua hawezi piga goti kizembeHakika ni wenda wazimu uliopitiliza kulazimisha uombwe msamaha kwa kosa lisilokuwepo unitengenezee kesi halafu utake nikuombe msamaha UCHIZI WA KIZIMKAZI KWA CHURA KIZIWI
Inakuwa na ukakasi kuomba msamaha, jambo usilotenda Wala kulijua!Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha.
Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu ni kiongozi mwenye msimamo na hawezi kuomba msamaha kwa kosa ambalo, kwa mtazamo wake, hajalitenda. Aliitaka Serikali imuachie huru bila masharti yoyote.
That is what it means to be a man!Lisu hata waseme wanamuua hawezi piga goti kizembe
Tatizo lao kubwa ni kwamba hawana case, to begin with!Inakuwa na ukakasi kuomba msamaha, jambo usilotenda Wala kulijua!
kwahiyo msigwa yeye ni mjinga na hana akili, right?Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha.
Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu ni kiongozi mwenye msimamo na hawezi kuomba msamaha kwa kosa ambalo, kwa mtazamo wake, hajalitenda. Aliitaka Serikali imuachie huru bila masharti yoyote.
Sasa wanazidi kujichora Hadi yamefika BBC!Tatizo lao kubwa ni kwamba hawana case, to begin with!
Unakazi,Hadi jua lizame! Kunywa maji mengi .kwahiyo msigwa yeye ni mjinga na hana akili, right?
maana lazima tuwe wa kweli gentleman,Unakazi,Hadi jua lizame! Kunywa maji mengi .
Haina Maana hiyo,we angalia kina Katuga wanaenda mahakamani na gari la serikali huku wameshakunywa supu na vitu kibao vya serikali,huyu TAL anatoka gerezani Tena chini ya ulinzi mkali!Anawagaragaza jamaa Kwa Ko ya round ya 1,Huoni kuwa ni Akili kubwa kuliko hao Wawakilishi wa serikali, right?maana lazi tuwe wa kweli gentleman,
unaposema mwingine ana akili maana yake wewe ni mjinga na huna akili, right?
akili kubwa unasota korokoroni kweli?Haina Maana hiyo,we angalia kina Katuga wanaenda mahakamani na gari la serikali huku wameshakunywa supu na vitu kibao vya serikali,huyu TAL anatoka gerezani Tena chini ya ulinzi mkali!Anawagaragaza jamaa Kwa Ko ya round ya 1,Huoni kuwa ni Akili kubwa kuliko hao Wawakilishi wa serikali, right?
Sio Samia tu Tanzania hii hakuna mtu wakushindana na Lissu kwa hoja na kujenga hoja wanajua hiliSahihi kabisa, samuya anamuonea sana wivu lissu kwasabb ya kujaliwa akili kubwa huku yeye akiwa empty kichwani!.
Hata Mandela,Zuma,Kaunda,Hichelema raisi wa Zambia alikaa korokoroni, issue ni unakaa Kwa jambo Gani?Ni la Kweli,upe moyo wako majibu Maana ndipo ilipo hazina Yako!akili kubwa unasota korokoroni kweli?
akili kubwa unaenda kizimbani na kontena la ubawabwa?
akili kubwa unapiga mayowe mahakamani?
akili kubwa unatibua minywele kama mwendawazimu?
we uliskia wapi gentleman
ni kufuru kumfananisha Hayati Nelson Mandela na kibaraka mropokaji, mwenye kiburi na mkiuka sheria kwa makusudi kama huyo muhaini aliebebwa ufala wa kifikra na mabwenyenye ya magharibiHata Mandela,Zuma,Kaunda,Hichelema raisi wa Zambia alikaa korokoroni, issue ni unakaa Kwa jambo Gani?Ni la Kweli,upe moyo wako majibu Maana ndipo ilipo hazina Yako!
Kataa kubali, Huyu ni mwamba wa Karne,risasi 16,Kesi zisizoisha,Bondia Kwa KO!Huyu ni mwamba,Dunia imesimama na Yeye,mwamba TAL,mwamba TAL!ni kufuru kumfananisha Hayati Nelson Mandela na kibaraka mropokaji, mwenye kiburi na mkiuka sheria kwa makusudi kama huyo muhaini aliebebwa ufala wa kifikra na mabwenyenye ya magharibi
Mtu mmoja anataka kutupatisha tabu Kwa kushupaza shingo kwenu imejulikana Tanzania kimataifa bila kulipwa! TAL apokee maua yake .Kataa kubali, Huyu ni mwamba wa Karne,risasi 16,Kesi zisizoisha,Bondia Kwa KO!Huyu ni mwamba,Dunia imesimama na Yeye,mwamba TAL,mwamba TAL!