Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Kwa nguvu ile ile na Juhudi zile zile za CHADEMA nitazunguka nchi nzima kuelezea Utakatifu wa CCM, msidanganyike na Wapinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani sisi hatuoni mpaka msigwa atuaminishe
Huu upumbavu wa vyama utaisha lini nchi hii
 
mtengeneza njia kwajili ya ile sauti ya mtu aliae nyikani ana mbwembwe kweli kweli, amekua mwepesi sana saivi aise 🐒

kiufupi anaendelea kupata relief pole pole, ukilinganisha na alivyo anza na hali aliyokua nayo wakati akijiunga CCM......

ama kwa hakika,
CCM ni dawa na ni tiba ya moyo kisiasa 🐒
 
Ni bora kuelekea mazuri ya ccm kiasi flani anaweza kueleweka kuliko kueleza mapungufu ya chadema alipo kaa miaka na miaka leo hata miezi 6 hana huko aliko keshawaona ni wazuri.

Eleza watu utafanya nini huko ulikohamia mapungufu ya ulikokota hizo sio shida za wana ccm
 
Anajua maana ya utakatifu?. Mchungaji mzima hajui maana ya utakatifu. Ok, aendelee kuzunguka ili kaheshima kadogo alikobakiza kaishe kote abakie katuni na kichekesho kwa walionuna.
 
Stupid pastor. Wenzako akina Nasary, Silinde, hata wale Covi 19 uliwasikia wanabwatukia chama kilichowalea kama wako kwenye joto. Wewe na hako kadichana kanakoitwa Upendo ndo mmekuwa wajinga wa kukata tawi mlilolikalia kwa muda mrefu. We zunguka tu si unalipwa?
 
Hii tuseme ni njaa au ndio uanasiHasa huo. ???!
Je tuendelee kupoteza muda kwa kuwaamini wanasiHasa wa namna hizi ???!
Kumbe siku zote huwa tunadanganywa tu kama watoto wadogo. !
 
Huyu akapimwe akili.
 
Hii tuseme ni njaa au ndio uanasiHasa huo. ???!
Je tuendelee kupoteza muda kwa kuwaamini wanasiHasa wa namna hizi ???!
Kumbe siku zote huwa tunadanganywa tu kama watoto wadogo. !
Usiogope Kiongozi! Huyu ni njaa inamsumbua na uchu wa madaraka. Hajapitia machungu waliyopotia wenzake ya kufilisiwq Mali,na kubambikiwq kesi
 
Huyu sms anazo Dr Msukuma hana thamani tena.
 
Kijamaa kijinga sana. 🤣🤣🤣🙏
 
CCM wanazidi kumjaza upepo azidi kuropoka halafu wanamkolimba kisha waseme Chadema ndiyo wamemuua,siku zake zinahesabika lazima CCM wamuue tu huyu mpumbavu kisha jumba bovu waangushiwe Chadema.
 
CCM wanazidi kumjaza upepo azidi kuropoka halafu wanamkolimba kisha waseme Chadema ndiyo wamemuua,siku zake zinahesabika lazima CCM wamuue tu huyu mpumbavu kisha jumba bovu waangushiwe Chadema.
Ghafla amekuwa Mpumbavu? 🐼
 
Ni sawaa ila CHADEMA itabaki tuu hata aropoke vipi

Tutawasahu kama wengine tulivyowasahu kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…