Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
"Never outshine your master " tatzo la msigwa ni mjuaji kupitiliza kiasi kwamba mpaka mwenye chama anamuona kama zuzu
 
Mmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.

Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu ni uzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama
Hao β€œWatu wanaotoa maoni, maamuzi na wenye maoni binafsi” na wenyewe ni chadema kama hao vijana?
 
Acha kukuza mambo , watu wakomavu kupishana ni jambo la kawaida mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…