WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Watu na Viongozi.Kipimo cha CDM kuendelea kunawiri ni kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu na Viongozi.Kipimo cha CDM kuendelea kunawiri ni kipi?
Nimecheka kifala sana 😂😂😂Mbowe kafanya michezo ya kitoto sana acha wamkimbie.
Msigwa+Lisu +COVID-19 = Umkhonto we Sizwe
We mburukenge acha ujingaMimi namchinja ng'ombe kwa namna alivyolala.
Ukija kistaarabu najibu kistaarabu. Ushahidi upo.
Ukija kwa matusi na mimi nakujibu kwa matusi ili kukuonyesha uwezo wangu. Na hii inanisadia kupambana na mijitu kama Etwege, barafu, Nyankurungu2020, Crimea, magu2016, ras jeff kapita, Carlos The Jackal etc
Hao “Watu wanaotoa maoni, maamuzi na wenye maoni binafsi” na wenyewe ni chadema kama hao vijana?Mmh! Moja ya madhaifu makubwa ya chadema ni vijana wa chadema kutoheshimu maoni, maamuzi na mitazamo binafsi ya watu.
Kila anayehoji ama kulalamika hushambuliwa kwa matusi. Huu ni uzwazwa unaokiagusha na kukiviza chama
Vyama vingine vina watu na viongozi pia. Maana yake na vyama vingine vinaendelea pia.Watu na Viongozi.
Acha kukuza mambo , watu wakomavu kupishana ni jambo la kawaida mkuu
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
Umekuja?? Siku hizi uko dhoofu haliWe mburukenge acha ujinga
Ni chama kaanzisha mkwe wake Edwin Mtei, unataka aachie aende wapi?Mbowe aachie ngazi anataka afie madarakani?