Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chako wewe una warrant nacho? Kile ni chama cha siasa lazima wananchi wahoji mkuu.
Aachie madaraka kwa wengine, chama cha demokrasia lakini hawawezi kupractice hiyo demokrasia.
Mkuu huyo Mbowe ni kiongozi wa wanachama wa chama chake,sasa wewe unawashwa wapi wakati siyo chama chako? Kama na wewe ni mwanachama na unaumizwa na hilo hama chama nenda ACT au popote unapotaka
 
Jahazi linazama

1. Mwenyekiti katoweka hajulikani alipo anaonekana kwenye makongamano tuu
2. Makamu Mwenyekiti anafanya mikutano peke yake sio kitaasisi huku akiendelea kupitisha bakuli la kununua shangingi
3. Katibu Mkuu Mnyika nae kafunga ndoa ya uzeeni sijui bado yupo hanimuni
4. Lema kakimbia pambano mapema
5. Heche nae kabaki kulialia x (twita)
Wewe umebaki wapi zaidi ya hapa Jf? Watu wanawashwa na mambo yasiyowahusu. Anyway nikupe pole tu kwa kuumia na mambo yasiyokuhusu
 
Mkuu huyo Mbowe ni kiongozi wa wanachama wa chama chake,sasa wewe unawashwa wapi wakati siyo chama chako? Kama na wewe ni mwanachama na unaumizwa na hilo hama chama nenda ACT au popote unapotaka
Usinipangie nini cha kuongea, wewe ni nani hadi upangie watu waongee nini? Kile ni chama cha siasa, yoyote anaweza kutoa maoni yake. Ukiona maneno yangu yanakuumiza bofya ignore button.
 
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
CHADEMA kuna Demokrasia ya kutema nyongo hata kama ni za uongo unasikilizwa siyo ccm huko ambako mnapenda kutumia polisi na mahabusu kuzima haki za watu kusema yale yanayowakera.
 
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
We mzee stuka mambo ya content na hype hayo, watu walikunywa maji ya bendera upigwe na mchanga wa macho
 
Ndio maana nyerere alisema ccm sio mama yeke wala baba yake. Yeye yukom kwa maslahi ya chadema wa Watanzania?! Kama yuko kwa maslahi ya Watanzania basi anaweza kuwatumikia akiwa kwenye chama chochote, iwe CUF, CCM (tayari wamemkaribisha) au ACT? Lakini kutoa kauli za hovyo kuhusu Mwenyekiti wako kisa MMM ni ukosefu wa heshima. Ana njaa kama wanasiasa wengine.
Huyo Nyerere unaemtolea mgando aliwahi kuhama CCM? Kuhusu kutoa maneno ya hovyo hata Nyerere alimtolea maneno ya hovyo Mwinyi kwa hiyo kwa wanasiasa hayo ni mambo ya kawaida
 
Mkuu huyo Mbowe ni kiongozi wa wanachama wa chama chake,sasa wewe unawashwa wapi wakati siyo chama chako? Kama na wewe ni mwanachama na unaumizwa na hilo hama chama nenda ACT au popote unapotaka
Kujenga chama unadhani ni kazi rahisi? Muulize Zitto Kabwe atakwambia.

Walafi wanataka ready made, Mbowe ameshasurubika amewekwa jela amepewa kesi za ugaidi leo kirahisi tu awaachie uongozi mchwa waje kula pesa hata mimi siwezi kufanya ujinga huo.

Mbowe kamatia hapohapo wewe ndio Putin wetu endelea kuwanyoosha.
 
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
Maranja analaana ya kumpiga baba yake mzazi
 
John na lucas hiyo kampeni yenu,ila sishangai kwani huyo alikuwa sijui shemeji ya wasisi wa kuunga mkono juhudi.
 
Back
Top Bottom