Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chako wewe una warrant nacho? Kile ni chama cha siasa lazima wananchi wahoji mkuu.
Aachie madaraka kwa wengine, chama cha demokrasia lakini hawawezi kupractice hiyo demokrasia.
Mkuu huyo Mbowe ni kiongozi wa wanachama wa chama chake,sasa wewe unawashwa wapi wakati siyo chama chako? Kama na wewe ni mwanachama na unaumizwa na hilo hama chama nenda ACT au popote unapotaka
 
Wewe umebaki wapi zaidi ya hapa Jf? Watu wanawashwa na mambo yasiyowahusu. Anyway nikupe pole tu kwa kuumia na mambo yasiyokuhusu
 
Mkuu huyo Mbowe ni kiongozi wa wanachama wa chama chake,sasa wewe unawashwa wapi wakati siyo chama chako? Kama na wewe ni mwanachama na unaumizwa na hilo hama chama nenda ACT au popote unapotaka
Usinipangie nini cha kuongea, wewe ni nani hadi upangie watu waongee nini? Kile ni chama cha siasa, yoyote anaweza kutoa maoni yake. Ukiona maneno yangu yanakuumiza bofya ignore button.
 
Kheee
Basi mpaka hapa lazima atahama chama tu
 
CHADEMA kuna Demokrasia ya kutema nyongo hata kama ni za uongo unasikilizwa siyo ccm huko ambako mnapenda kutumia polisi na mahabusu kuzima haki za watu kusema yale yanayowakera.
 
We mzee stuka mambo ya content na hype hayo, watu walikunywa maji ya bendera upigwe na mchanga wa macho
 
Huyo Nyerere unaemtolea mgando aliwahi kuhama CCM? Kuhusu kutoa maneno ya hovyo hata Nyerere alimtolea maneno ya hovyo Mwinyi kwa hiyo kwa wanasiasa hayo ni mambo ya kawaida
 
Ndio maana wanaitwa nyumbu ,kila ndugu yake mbowe kwenye hiki chama ni msemaji ,kuanzia Mrema,James Mbowe,na yule chizi Lema
Zaidi ya nyumbu CCM wanaoamini Makonda na Sabaya katika mauaji.
 
Mkuu huyo Mbowe ni kiongozi wa wanachama wa chama chake,sasa wewe unawashwa wapi wakati siyo chama chako? Kama na wewe ni mwanachama na unaumizwa na hilo hama chama nenda ACT au popote unapotaka
Kujenga chama unadhani ni kazi rahisi? Muulize Zitto Kabwe atakwambia.

Walafi wanataka ready made, Mbowe ameshasurubika amewekwa jela amepewa kesi za ugaidi leo kirahisi tu awaachie uongozi mchwa waje kula pesa hata mimi siwezi kufanya ujinga huo.

Mbowe kamatia hapohapo wewe ndio Putin wetu endelea kuwanyoosha.
 
Maranja analaana ya kumpiga baba yake mzazi
 
John na lucas hiyo kampeni yenu,ila sishangai kwani huyo alikuwa sijui shemeji ya wasisi wa kuunga mkono juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…