Unaweza kufuata katiba lakini hiyo katiba Ikawa na mapungufu Moja kati ya pungufu katika katiba ya CHADEMA ni kutoweka ukomo katika cheo Cha MwenyekitiKama swala la kutokuwa na ukomo ingekuwa ni tatizo basi chama kisingesajiriwa. Demokrasia ni pamoja na kufata katiba
Hongera sana kijana mwerevu wa CCMusinifananishe mimi na vijana wa CHADEMA itakuwa ni kunidhalilisha.
Kamati ya nidhamu Chadema imuite athibitishe hayo madai kuwa Maranja anaishi Kwa kulamba miguu ya Mbowe tuhuma nzito hizo Kwa Mbowe na MaranjaMsigwa athibitiwe kabla hajaharibu taswira ya chama zaidi. Akubali kushindwa na si kuanza kurusha shombo kwa wenzake
Haikuwa hovyo toka mwanzo ila baada ya Mbowe kumaliza vipindi viwili ndipo katiba ilipobadilishwa kinyemelaSafi, sasa kama katiba yao ambayo inasema hivyo na iko wazi,kwanini unaumia ili hali wanafuata katiba yao? Katiba haina uko na ilikuwa hivyo toka mwanzo,sasa shida ni nini hapo?
Hata mimi simwachii yeyote, ila kama wanachama wakinichoka basi nasepaKujenga chama unadhani ni kazi rahisi? Muulize Zitto Kabwe atakwambia.
Walafi wanataka ready made, Mbowe ameshasurubika amewekwa jela amepewa kesi za ugaidi leo kirahisi tu awaachie uongozi mchwa waje kula pesa hata mimi siwezi kufanya ujinga huo.
Mbowe kamatia hapohapo wewe ndio Putin wetu endelea kuwanyoosha.
Chadema inapaswa kujinasibu kwa mazuri na siyo kujilingangdnisha na mabaya ya ccm.down,Chawa wa Mwenyekiti kila chama wapo,Mbona Ndugai Uvccm walimtukana kwa kuongea ukweli kuhusu mwenyekiti mpk akajiuzulu usipka
Ina maana Chadema ukiondoa Mbowe waliobaki wote ni wabovu hawafai kwa nafasi ya Uenyekiti?Demokrasia ya kuweka Viongozi wabovu wa kuuza utu wao hiyo siyo Demokrasia.
Msigwa banana na Mbowe mpaka kieleweke. Ni zamu ya Mbowe kungoka mwaka huu. Jeshi lipo vizuri. Ni lazima kuisambaratisha ngome ya kaskazini ili CHADEMA ipumue.
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
Hapa kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA ingawa makamanda hawataki kukubali.
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.
Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.
Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.
Kwako Lucas 😂🔥
Mwishoni umenichekesha sana mkuu, lakini je Chadema ilisajiriwa bila kuwa na katiba? Wasajiri hawakuona hicho kipengere au Chadema walikibadilisha baada ya usajiri? Jiulize shida hapo ni Chadema au serikali kwa ujumla. Ishu ndogo sana hapo wewe gombea ukionekana utaleta maendeleo na kukisimamia chama utachaguliwa. Achana na wale wanaochapisha fomu moja tu,hapa unasemaje?Unaweza kufuata katiba lakini hiyo katiba Ikawa na mapungufu Moja kati ya pungufu katika katiba ya CHADEMA ni kutoweka ukomo katika cheo Cha Mwenyekiti
Mfano tu sisi tunaolilia katiba mpya kwani Nchi haina katiba? Katiba ipo ila tunaona baadhi ya maneno Yana mapungufu na kwa hili lazima Chadema wajirekebishe waludishe kipengere Cha ukomo kama ilivyokuwa mwanzo
Na kwa utaratibu huu atatokea mwingine atarekebisha katiba na kujiita Mwenyekiti wa milele
Kama kuna kitu hakiko sawa hao makanda si wahame,waende kule kwenye fomu moja tuHapa kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA ingawa makamanda hawataki kukubali.
Mwenyewekiti amekaa miaka mingapi au umeiona miaka kumi ya Msigwa tu?Msigwa ashapoteza sifa ndani ya chadema, Teknolojia imemummbua, sifa zilimjaa anajiona yeye ndio chadema na chadema ndio yeye. arudi kanisani akadanganye upande huo tena siasa zishamshinda, unakaa miaka 10 nafasi hutosheki?
Ila ccm wanaongoza kwa uhovyoCHADEMA imejaa vijana wa hovyo sana .
Kwenye kuchagua kina kupatia na kukosea na ndio maana Kuna ukomo kama umepatia atakae kuja ataendeleza mazuri yako na kama umekosea atakaekuja atarekebisha makosa yako lakini hili la kuongoza wewe tu mpaka Mungu atakapokuchukua ni dalili za Udikteta😂 So demokrasia ni ile ya kumuweka mtu kama Jiwe madarakani au siyo
Chedema kwenye uongozi wa juu haina tofauti na Museveni,Kagame nk wewe unaona hiyo ndio Demokrasia tuitakayo?😂 So demokrasia ni ile ya kumuweka mtu kama Jiwe madarakani au siyo
Maskini hawezi shindana na TajiriNdugu zetu wa Iringa huwa hawapendi kuonewa rejea Chifu Mkwawa alivyowanyoosha Wajerumani na ukawaonea Wanajinyonga.
Maranja anachezea Moto.
Mkuu sijasema achaguliwe, namaanisha kugombea, kama kuna bora zaidi yake basi atachuguliwa huyo. Kikubwa uchaguzi uwe huru bila magumashiKwenye kuchagua kina kupatia na kukosea na ndio maana Kuna ukomo kama umepatia atakae kuja ataendeleza mazuri yako na kama umekosea atakaekuja atarekebisha makosa yako lakini hili la kuongoza wewe tu mpaka Mungu atakapokuchukua ni dalili za Udikteta
Chedema kwenye uongozi wa juu haina tofauti na Museveni,Kagame nk wewe unaona hiyo ndio Demokrasia tuitakayo?
Unaonaje Leo bunge likakaa na kuondoa ukomo wa vipindi viwili na wakaja na style Rais achaguliwe tu mpaka watu watakapochoka?