Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu katiba hata kina Dovutwa wanazo ukiangalia kwa undani Bora hao wanaochapisha fomu Moja ila ukimaliza vipindi viwili kaa pembeni utake usitake
Siasa za kiafrika ni ngumu usipoweka hicho kipengele aliekuwepo juu atatawala milele maana viongozi wetu karibu wote ni waroho wa madaraka watatumia Kila njia ili wabaki madarakani
 
Maskini hawezi shindana na Tajiri

Msigwa na Lisu malofa Hela hawana washukuru hata hiyo tilunafasi walitupata Kwa huruma tu za matajiri wa Chadema
Chama chetu cha CHADEMA kina Mrengo wa Kibepari lakini sio kuruhusu Rushwa na Pesa Chafu za Abduli kutuvurugia Chama Pendwa.

Tunasubiri Mwenyekiti wetu atie NENO tukiona KIMYA tutajua kuwa hizi SHUTUMA zina ukweli.
 
Mkuu sijasema achaguliwe, namaanisha kugombea, kama kuna bora zaidi yake basi atachuguliwa huyo. Kikubwa uchaguzi uwe huru bila magumashi
Chaguzi za kiafrika hili neno huru na haki ni msamihati ngumu sana na ndio maana unaona vurugu,vita nakupinduana kusiko kwisha
 
Maranja hana akili hizo kama unazotaka kumpamba niamini mimi.....yule mzee wa kugugo mambo kulingana na hoja itakavyokuja/trend pia kuna watu huwa wanamsadia kumpa shule ya jambo husika kwa undani....

Pia hoja zengine huziibua kwenye coments
 
Chama chetu cha CHADEMA kina Mrengo wa Kibepari lakini sio kuruhusu Rushwa na Pesa Chafu za Abduli kutuvurugia Chama Pendwa.

Tunasubiri Mwenyekiti wetu atie NENO tukiona KIMYA tutajua kuwa hizi SHUTUMA zina ukweli.
Tuhuma mtu hujibu kama aliyetuhumu kaweka ushahidi Lisu karopoka tu ohh Kuna hela za mama Abdul ushahidi hamna

Mbowe hawezi poteza muda kumjibu mjinga kama huyo Lisu ana mambo mengi ya muhimu ya kufanya Lisu ni Makamu mwenyekiti yeye ndie aweke huo ushahidi na ufafanuzi
 
Mkuu kama hujui Ccm siku zote wanataka kuweka mamluki wao Chadema, kama Mbowe asingekuwa imara Chadema na TLP wangekuwa sawa. Ndiyo maana kila siku Mafisiemu ndiyo yanapiga kelele kuwa Mbowe atoke. Lakini Chadema wenyewe wameridhia aendelee kuwaongoza
 
Kwanza Mangi amekaa sana ajiuzulu Lissu akiingize Chama kwenye Uchaguzi.
Mnyalukolo ana pwenti.
 
Hivi ACT bado ipo?
 
Je tume ya usajiri wa vyama vya siasa inaruhusu jambo hilo? Kuwa chama kibadilishe katiba yake kinyemela?
 
Unamtwisha mzigo Katibu Mkuu usio muhusu.

Mwenyekiti wa chama anatumia mbinu zilezile anazotumia Samia..., Kunyamaza, wakati anatakiwa kulisemea jambo linalohatarisha chama.
Kwa mfano: ulisha sikia Mbowe akizungumzia COVID-19 na akaeleweka?
Sasa amenyamazia hili la kutengeneza timu yake ndani ya chama na kutaka kila mtu aufyate, kwa kutumia njia zilezile anazotumia Samia.
Safari hii ataimaliza CHADEMA yenyewe.
 
Mbowe kafanya michezo ya kitoto sana acha wamkimbie.

Msigwa+Lisu +COVID-19 = Umkhonto we Sizwe
Fomula yako ina kasoro.

Ondoa COVID-19 iweke inakohusika
Mbowe + COVID-19 = CCM + Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…