wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,720
- 2,151
Mkuu katiba hata kina Dovutwa wanazo ukiangalia kwa undani Bora hao wanaochapisha fomu Moja ila ukimaliza vipindi viwili kaa pembeni utake usitakeMwishoni umenichekesha sana mkuu, lakini je Chadema ilisajiriwa bila kuwa na katiba? Wasajiri hawakuona hicho kipengere au Chadema walikiba dilisha baada ya usajiri? Jiulize shida hapo ni Chadema au serikali kwa ujumla. Ishu ndogo sana hapo wewe gombea ukionekana utaleta maendeleo na kukisimamia chama utachaguliwa. Achana na wale wanaochapisha fomu moja tu,hapa unasemaje?
Siasa za kiafrika ni ngumu usipoweka hicho kipengele aliekuwepo juu atatawala milele maana viongozi wetu karibu wote ni waroho wa madaraka watatumia Kila njia ili wabaki madarakani