Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwishoni umenichekesha sana mkuu, lakini je Chadema ilisajiriwa bila kuwa na katiba? Wasajiri hawakuona hicho kipengere au Chadema walikiba dilisha baada ya usajiri? Jiulize shida hapo ni Chadema au serikali kwa ujumla. Ishu ndogo sana hapo wewe gombea ukionekana utaleta maendeleo na kukisimamia chama utachaguliwa. Achana na wale wanaochapisha fomu moja tu,hapa unasemaje?
Mkuu katiba hata kina Dovutwa wanazo ukiangalia kwa undani Bora hao wanaochapisha fomu Moja ila ukimaliza vipindi viwili kaa pembeni utake usitake
Siasa za kiafrika ni ngumu usipoweka hicho kipengele aliekuwepo juu atatawala milele maana viongozi wetu karibu wote ni waroho wa madaraka watatumia Kila njia ili wabaki madarakani
 
Maskini hawezi shindana na Tajiri

Msigwa na Lisu malofa Hela hawana washukuru hata hiyo tilunafasi walitupata Kwa huruma tu za matajiri wa Chadema
Chama chetu cha CHADEMA kina Mrengo wa Kibepari lakini sio kuruhusu Rushwa na Pesa Chafu za Abduli kutuvurugia Chama Pendwa.

Tunasubiri Mwenyekiti wetu atie NENO tukiona KIMYA tutajua kuwa hizi SHUTUMA zina ukweli.
 
Mkuu sijasema achaguliwe, namaanisha kugombea, kama kuna bora zaidi yake basi atachuguliwa huyo. Kikubwa uchaguzi uwe huru bila magumashi
Chaguzi za kiafrika hili neno huru na haki ni msamihati ngumu sana na ndio maana unaona vurugu,vita nakupinduana kusiko kwisha
 
1. Kama alifukuzwa Slaa, huyu ni mtu mdogo sana. Msigwa nilikuwa namwamini sana kumbe vijitu vifupi ni mavi matupu.

2. Atapewa ubunge na Covid 19

3. Clip hii ameisambaza maranja, hivyo si ajabu kuikuta hapa. Haina impact yoyote kwa chadema.

4. Mwisho Maranja ni mtu na nusu. IQ yake ni kubwa , any normal reasoning person ataiona hiyo aiba from his publications!

5. Nadhani ulipoipata clip hii uliona umeleta bonge la habari wakati kule tweeter Maranja aliipost muda mrefu tu!
Maranja hana akili hizo kama unazotaka kumpamba niamini mimi.....yule mzee wa kugugo mambo kulingana na hoja itakavyokuja/trend pia kuna watu huwa wanamsadia kumpa shule ya jambo husika kwa undani....

Pia hoja zengine huziibua kwenye coments
 
Chama chetu cha CHADEMA kina Mrengo wa Kibepari lakini sio kuruhusu Rushwa na Pesa Chafu za Abduli kutuvurugia Chama Pendwa.

Tunasubiri Mwenyekiti wetu atie NENO tukiona KIMYA tutajua kuwa hizi SHUTUMA zina ukweli.
Tuhuma mtu hujibu kama aliyetuhumu kaweka ushahidi Lisu karopoka tu ohh Kuna hela za mama Abdul ushahidi hamna

Mbowe hawezi poteza muda kumjibu mjinga kama huyo Lisu ana mambo mengi ya muhimu ya kufanya Lisu ni Makamu mwenyekiti yeye ndie aweke huo ushahidi na ufafanuzi
 
Mkuu katiba hata kina Dovutwa wanazo ukiangalia kwa undani Bora hao wanaochapisha fomu Moja ila ukimaliza vipindi viwili kaa pembeni utake usitake
Siasa za kiafrika ni ngumu usipoweka hicho kipengele aliekuwepo juu atatawala milele maana viongozi wetu karibu wote ni waroho wa madaraka watatumia Kila njia ili wabaki madarakani
Mkuu kama hujui Ccm siku zote wanataka kuweka mamluki wao Chadema, kama Mbowe asingekuwa imara Chadema na TLP wangekuwa sawa. Ndiyo maana kila siku Mafisiemu ndiyo yanapiga kelele kuwa Mbowe atoke. Lakini Chadema wenyewe wameridhia aendelee kuwaongoza
 
Tuhuma mtu hujibu kama aliyetuhumu kaweka ushahidi Lisu karopoka tu ohh Kuna hela za mama Abdul ushahidi hamna

Mbowe hawezi poteza muda kumjibu mjinga kama huyo Lisu ana mambo mengi ya muhimu ya kufanya Lisu ni Makamu mwenyekiti yeye ndie aweke huo ushahidi na ufafanuzi
Kwanza Mangi amekaa sana ajiuzulu Lissu akiingize Chama kwenye Uchaguzi.
Mnyalukolo ana pwenti.
 
Mpango wa CCM yetu kugawa kura za chadema na kuunda upinzani wenye wabunge wengi wa vyama tofauti vya upinzani naona umekamilika mapema!

Ni rasmi sasa Msigwa na Lisu na sio kuhamia upande mwingine kisiasa!!

Kama namuona zito kabwe akisubiria Kwa hamu ili apate uungwaji mkono huko ACT!!!

Tusubiri!
Hivi ACT bado ipo?
 
Haikuwa hovyo toka mwanzo ila baada ya Mbowe kumaliza vipindi viwili ndipo katiba ilipobadilishwa kinyemela
Pia Chadema sio chama chao ni chama Cha Umma(ndio maana wanapokea ruzuku) na tunaimani kinaweza kuwa mbadala wa CCM siku Moja Sasa yale mabaya tunayolalamika yanafanywa na chama tawala tukiyaona yanafanywa na kikubwa Cha Upinzani sisi Wananchi tunashindwa kutofautisha yupi Bora na ndipo ule usemi wa kiswahili zimwi likujualo...,.....unapotamali
Je tume ya usajiri wa vyama vya siasa inaruhusu jambo hilo? Kuwa chama kibadilishe katiba yake kinyemela?
 
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.

Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.

Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama

Ni wazi kuna ugomvi mkubwa sana Kati ya Mchungaji Msigwa na Mwenyekiti Mbowe.

Mchungaji Msigwa asikilizwe kabla hajaanza kutoa siri za michango ya Nairobi hospital.

Mungu wa mbinguni inusuru CHADEMA.

Kwako Lucas 😂🔥
Unamtwisha mzigo Katibu Mkuu usio muhusu.

Mwenyekiti wa chama anatumia mbinu zilezile anazotumia Samia..., Kunyamaza, wakati anatakiwa kulisemea jambo linalohatarisha chama.
Kwa mfano: ulisha sikia Mbowe akizungumzia COVID-19 na akaeleweka?
Sasa amenyamazia hili la kutengeneza timu yake ndani ya chama na kutaka kila mtu aufyate, kwa kutumia njia zilezile anazotumia Samia.
Safari hii ataimaliza CHADEMA yenyewe.
 
Mbowe kafanya michezo ya kitoto sana acha wamkimbie.

Msigwa+Lisu +COVID-19 = Umkhonto we Sizwe
Fomula yako ina kasoro.

Ondoa COVID-19 iweke inakohusika
Mbowe + COVID-19 = CCM + Samia.
 
Back
Top Bottom