Pre GE2025 Mchungaji Msigwa Mbona hasikiki au amerudi CHADEMA Kimya Kimya?

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa Mbona hasikiki au amerudi CHADEMA Kimya Kimya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna member mmoja humu hivi karibuni alileta uzi ambao unasema kuna Tetesi kuwa Mom atafanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri!
Basi tutegemee lo lote! Huenda akapewa Wizara ya Maliasili na utalii!
 
Kama zile dola kapewa kama walivyosema wadau!zinatosha kabisa kuuzia utu wake kisiasa!!

Upinzani unachosha kama Dola Haina mpango na nyie!ingekua dola inawahakikishia kuishikaw ingekua hero kuliko kuwa mbwa koko unaebweka bila impact yoyote!!

Tunapoteza vipaji vya mageuzi Kila siku kwadola kung'angania wale wale hata kama wnaharibu matokeo take hofu Kwa watawala haipo wanafanya wanavyojisikia !!

So sad!
 
Msigwa alidhani ni mkubwa Sana CHADEMA kwamba akitoka Chama kitateteleka, ila ndio hivyo kaondoka pekee yake , katuachia chama tunaendelea.

Alitakiwa ajifunze kwa upendo Peneza, na kelele zote zile hakuna aliyempapatikia, ameamua kukaa kimya na kusubiria alipwe chake astaafu siasa.
 
Mara nyingi Watu wanaohamia CCM kutoka Chadema huwaga na mbwembwe sana lakini kwa Mchungaji Msigwa imekuwa tofauti Kabisa

Yuko wapi Pastor?

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Ata rudije Chadema ili hali Ccm walikuwa wame mpatia pesa aivuruge kanda ya Nyasa? Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi ika bidi aende yeye ccm baada ya kukosa fedha za kuwa rudishia? Yaani kule ni mateka kaji salimisha.. Njaa mbaya sana..
 
Mara nyingi Watu wanaohamia CCM kutoka Chadema huwaga na mbwembwe sana lakini kwa Mchungaji Msigwa imekuwa tofauti Kabisa

Yuko wapi Pastor?

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Huyo hatainuka tena labda arudi kwenye madhabahu atubu na ajikite kwenye omahubiri tu lakini kwenye siasa ameingia mkunge na pesa alizolipwa mpaka zimtokee puani asipowatukana viongozi wenzake alikotoka CDM. Mark my words...period
 
2020 kati ya watia nia wa ubunge akijinadi alisema nchi nyingine zimepiga hatua ,kinapigwa kitu moshi ,huko mlengwa aliko anageuka kichaa ,kwangu Mchungaji Msigwa anahitaji maombi sio kumbeza ,Dunia ipo na mambo mengi sana, na kama ni mtumishi wa Mungu kweli basi Mungu ameamua mpa jaribu kuu ,akilishinda sawa akishindwa ,hatujui nini next kati yake na Mungu wake
 
Back
Top Bottom