Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mgeni hawezi kutawala nyumba, lazima kuwa mpole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀😀😀Yaani Msigwa alivyokuwa anajua kujenga hoja hadi bunge zima linakuwa kimya kumsikiliza leo hii anafundishwa kusema na lile bilinganya Makalla !
111Atasikika atakapo pata "Script" ya movie 🎥 mpya kwa sharti la kuikariri ipasavyo kabla ya igizo. 😂
Hana tofauti na wale wageni waliopokelewa gereji.Ame- fail parefu
Msukuma ndiye alijua kumtengua nyonga kabisa huyu andunje Msigwa.Ashaumbuliwa kwa matamshi yake Tena yule mropokaji Musukuma ashatuibia Siri kuwa alikuwa MTU wao huku alikuwa anatafuta wa kumeguka nao amewakosa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bora tu hakutengua ubongo kwani angeongeza ombaomba mtaani.Msukuma ndiye alijua kumtengua nyonga kabisa huyu andunje Msigwa.
Unamlinganisha Mashinji na Kamanda Msigwa?!Dk. Mashinji aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema alikuwa na vibe Gani baada ya kutoka Chadema na kuja CCM?
Mimi ndio sijui siasa au wewe na Chadema ndio hamjui siasa? Ilikuwaje Chadema wakampa Ukatibu Mkuu Dk. Mashinji wakamuacha Mch. Msigwa? Unataka kusema Ukatibu Mkuu Chadema ni cheo cha OVYO kulinganisha na Uwenyekiti wa Kanda aliokuwa nao Mch. Msigwa? Ahahahahaha!!!!Unamlinganisha Mashinji na Kamanda Msigwa?!
Hujui Siasa wewe 🐼