Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe Mwenyekiti uliyekaa sana Madarakani tukutane Mahakamani

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe Mwenyekiti uliyekaa sana Madarakani tukutane Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani

Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali alizomzushia

Kamanda Peter Msigwa ameandika Ukurasani X akianza kwa heshima kabisa Mr

Jumaa Mubarak 😀😀😀

===========

Aliyoandika Mchungaji Peter Msigwa kupitia ukurasa wake mtandao wa X

Kumbe Mwamba huwa aninifuatilia . Si walisema nipuuzwe . Niliomba hoja zangu zijibiwe , na Baadhi ya Viongozi wandamizi wa Chadema’ wamesisistiza hoja zangu zijibiwe. Freeman let me give you a friendly reminder
“A political problem need a political solution “

I’ll let the judge decide.

Mr Mbowe mwenyekiti uliyekaa Muda mrefu Sana.

Tukutane mahakamani .

Pia soma > Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti Frontpage, au Kulipa fidia ya Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
 
Saafi kabisa

Kama ngafu na iwe ngafu

Huko huko itajulikana nani mkweli kwenye kauli zake
 
Tunaomjua Freeman Mbowe tangu hajastaafu Utumishi wa Umma kwa kutimiza umri wa kustaafu tunajua Kamanda Peter Msigwa ameingia Cha kike 😂😂😂
credit na ushindi wa kishindo ni kwa Tundu Antipas Lisu,

sasa hivi huenda kajifungia chumbani anamcheka mwenyekiti wake kwamba kikowapi sasa nilichokua nasema Msigwa ajibiwe ndiyo hicho utakwenda kukisema mahakamani hadharani 🐒
 
Ujue ana Kinga zote za Mahakama za CCM!
Ndiyo maana anaujasiri wa kumwambia Mbowe hivyo.
 
Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani

Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali alizomzushia

Kamanda Peter Msigwa ameandika Ukurasani X akianza kwa heshima kabisa Mr

Jumaa Mubarak 😀😀😀
kesi hii ingekuwa imefunguliwa nchi zenye utawala wa sheria na wananchi wenye kujielewa kama South Africa au Kenya,hakika Msigwa angekuwa matatani haswaaaaaaaa ila SIO TZ!!!
 
credit na ushindi wa kishindo ni kwa Tundu Antipas Lisu,

sasa hivi huenda kajifungia chumbani anamcheka mwenyekiti wake kwamba kikowapi sasa nilichokua nasema Msigwa ajibiwe ndiyo hicho utakwenda kukisema mahakamani hadharani 🐒
Tangu enzi za akina Fundikira uliwahi kumuona mwanasiasa wa Upinzani anatoka Jela na kwenda direct Ikulu na akaoga huko huko State House?

Muwage na akili nyie uvccm 😀😀
 
Msigwa kwenye siasa hana content nje ya kumuongelea Mbowe.......na hii inaonyesha kuwa uwezo wa kisiasa ni mdogo Sana isipokuwa alikuwa akibebwa na taasisi na mkusanyiko wa matukio ya hapa na pale.......
 
kesi hii ingekuwa imefunguliwa nchi zenye utawala wa sheria na wananchi wenye kujielewa kama South Africa au Kenya,hakika Msigwa angekuwa matatani haswaaaaaaaa ila SIO TZ!!!
Hapo hamna KESI bwashee

Shauri litamalizwa Kimya Kimya na Mchungaji Msigwa ataambiwa asidemand tena Ubunge kwani ameshalipiwa mahali kwenye kesi ya Ukweni 😃😃

Siasa ni Sayansi 😂
 
Tangu enzi za akina Fundikira uliwahi kumuona mwanasiasa wa Upinzani anatoka Jela na kwenda direct Ikulu na akaoga huko huko State House?

Muwage na akili nyie uvccm 😀😀
kwani huyu ndie yule alikuaga anakoroga chai pale ikulu?🐒
 
Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani

Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali alizomzushia

Kamanda Peter Msigwa ameandika Ukurasani X akianza kwa heshima kabisa Mr

Jumaa Mubarak 😀😀😀
CCM nyie watu wabaya sana mumemchochea huyo tumbili aropoke ili hiyo $500,000. iishie kwenye kesi .
 
Hivi bado qnaandikiwa tumemo na thinktank wa CCM. Maana ile clip ndio ilisababisha nisimtilie maanani Msigwa kwa chochote.
 
Back
Top Bottom