Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe Mwenyekiti uliyekaa sana Madarakani tukutane Mahakamani

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe Mwenyekiti uliyekaa sana Madarakani tukutane Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani

Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali alizomzushia

Kamanda Peter Msigwa ameandika Ukurasani X akianza kwa heshima kabisa Mr

Jumaa Mubarak 😀😀😀

===========

Aliyoandika Mchungaji Peter Msigwa kupitia ukurasa wake mtandao wa X

Kumbe Mwamba huwa aninifuatilia . Si walisema nipuuzwe . Niliomba hoja zangu zijibiwe , na Baadhi ya Viongozi wandamizi wa Chadema’ wamesisistiza hoja zangu zijibiwe. Freeman let me give you a friendly reminder
“A political problem need a political solution “

I’ll let the judge decide.

Mr Mbowe mwenyekiti uliyekaa Muda mrefu Sana.

Tukutane mahakamani .

Pia soma > Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti Frontpage, au Kulipa fidia ya Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
Labda kama unategemea majaji wa ccm lakini unapomdharilisha mtu si taasisi basi tukutane mahakamani
 
Back
Top Bottom