Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe Mwenyekiti uliyekaa sana Madarakani tukutane Mahakamani

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe Mwenyekiti uliyekaa sana Madarakani tukutane Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo kasahau kumuita Mbowe Nkurunzinza hiyo post irudiwe jina limekaa mahali yake
 
Mchungaji pesa zaidi ya kumuongelea Mbowe hana anachoofa huko ccm, its sad kwamba anatumiwa kama tissue paper then atawekwa kwa dustbin chap tu.
 
kwani huyu ndie yule alikuaga anakoroga chai pale ikulu?🐒
1979+ Freeman Mbowe alikuwa anaingia na " Mguu wa kuku" hadi Bar na mandata wanamwangalia tu 😂😂😂

Enzi hizo mchungaji Msigwa anawauzia Mitumba Wanafunzi wa The Highlands sec school akina ASAS pale Unyaluni 😄🌹
 
saa zinngine historia inatukumbusha mambo mengi sana mpaka tunaweza kudifine hulka za watu vizuri kiuhalisia walivyo 🐒
 
20240906_190156.jpg
 
Yote anayozungumza anaandikiwa na Makalla
Lile rungu la Cyprian Musiba kwa Bernard Membe limemlamba Msigwa,
Kesi ya defamation ina pande mbili tu ulete uthibitisho kuwa Mbowe alifanya, ukishindwa 5B.
Afu wanasheria wa Chadema wanajua sheria utadhani sheria walizianjisha wao,
Mdomo uliponza kichwa 😂😂
 
Freeman ndio Kijana wa kwanza kumuonaga akitembea na " Mguu wa kuku" hadi Bar 😀😀

Enzi hizo tunagonga Crown Beer kwa Mzee Kamtawa aka Saidi TANU pale Mwananyamala Komakoma 😂😂🌹🌹
Salaam bwana John, laiti siku moja ningepata fursa ya kukutana na wewe ningechota historia kedekede na maarifa mengi.
 
Hili suala la kumpeleka mahakamani ndio limempa msigwa kitu aliokuwa anakitafuta. Mbowe kachemka au kashauriwa vibaya, wangeendelea kumpuuza angeacha mwenyewe, sasa kumpeleka mahakamani ni upuuzi kabisa wamemwongezea kiki.

Hizi kesi za hivi huwa zinàanza kwa mikwata mingi lakini huwa zinajifia zenyewe.mifano Musiba, Kipanya na mwijaku ingawa hii bado mbichi lakini itakufa kifo cha mende tu.

Kesi zenye fidia isiyokuwa na uhalisia ni kupoteza muda wa Mahakama
 
Huyo Musiba unamsikia siku Hizi?

Mchungaji Msigwa alipewa kishika uchumba tu na CCM na sasa wamemkatizia denge kwisha habari yake 😂😂😂
 
Msigwa aliambiwa kuwa ili awe analipwa na ccm inabidi awe anamtukana MBOWE
Mkuu pilipili usiokula yakuwashaje?
Msigwa na Mbowe ni watu waliofanya kazi pammoja kwa ngazi ya taifa kichama kwa muda mrefu.
Mbowe ni binadamu kama alivyo Msigwa.Tusingependa kuona vigogo hao wa siasa wanaparulana.Ila hakuna mshindi ni aibu kwa wao.
 
Back
Top Bottom