Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani
Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali alizomzushia
Kamanda Peter Msigwa ameandika Ukurasani X akianza kwa heshima kabisa Mr
Jumaa Mubarak 😀😀😀
===========
Aliyoandika Mchungaji Peter Msigwa kupitia ukurasa wake mtandao wa X
Kumbe Mwamba huwa aninifuatilia . Si walisema nipuuzwe . Niliomba hoja zangu zijibiwe , na Baadhi ya Viongozi wandamizi wa Chadema’ wamesisistiza hoja zangu zijibiwe. Freeman let me give you a friendly reminder
“A political problem need a political solution “
I’ll let the judge decide.
Mr Mbowe mwenyekiti uliyekaa Muda mrefu Sana.
Tukutane mahakamani .
Pia soma >
Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti Frontpage, au Kulipa fidia ya Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina