Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Lissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamu
Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!

Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
 
Mkuu,unamaanisha Ben Rabiu Saanane,Azory Gwanda,Tundu Lissu na Watanzania waliouawa na kuwekwa kwenye viroba hawana ndugu walioumizwa na Magufuli?
 
Unataka aandike maneno utakayoyapenda ?,Anaeua nafsi hawezi samehewa hapa duniani na huko mbinguni.Huwezi kujifanya Mungu mtu yaani alikuwa hatofautiani na Farau .

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Ametumia lugha za Wachawi
 
Karibu Lissu uendeleze mapambano ya kudai uhuru wetu.
 
Lissu naye tutampiga buyu la asali akifika tu airport, then lisaa limoja kabla ya kupanda jukwaani tunampa bapa moja la konyagi, baada ya hapo ni kupamba tu ilani ya CCM.
 
..sisi wengine tumekuja Addis Ababa kumpokea na kumleta Dsm.
 
Muuaji anapoukumiwa kunyongwa unadhani ndugu zake hawaumii,?? je lengo la kutoa hiyo ukumu unadhani ni nini? Tafakari
 
Chadema asaiv ni CCM B, dk Samia hakika ni jabali la siasa, yaani Maza hajatumia hata nguvu yaani ni sayansi tu, Leo hii pinga pinga FC ndo wanainadi ilani yetu ya CCM Huku macomrades tumechili tu.
 
Na ni fundisho pia kwao na wengine kuwa ukitenda uovu dhidi ya binadamu unaacha machukizo hata kwa familia yako na wakupendao.
Ni bahati yake tuu kuwa corona ilimfyeka, vinginevyo pengine angeishia kama Mobutu au Amin kufia ugenini au kama Saddam kula kitanzi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Coming home Brother TL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…