Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Lissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamu
Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!

Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
 
Mkuu,unamaanisha Ben Rabiu Saanane,Azory Gwanda,Tundu Lissu na Watanzania waliouawa na kuwekwa kwenye viroba hawana ndugu walioumizwa na Magufuli?
 
Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!

Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
Unataka aandike maneno utakayoyapenda ?,Anaeua nafsi hawezi samehewa hapa duniani na huko mbinguni.Huwezi kujifanya Mungu mtu yaani alikuwa hatofautiani na Farau .

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!

Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
Ametumia lugha za Wachawi
 
Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lisu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana

Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lisu

Source: Clouds tv
Karibu Lissu uendeleze mapambano ya kudai uhuru wetu.
 
..sisi wengine tumekuja Addis Ababa kumpokea na kumleta Dsm.
 
Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!

Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
Muuaji anapoukumiwa kunyongwa unadhani ndugu zake hawaumii,?? je lengo la kutoa hiyo ukumu unadhani ni nini? Tafakari
 
Chadema asaiv ni CCM B, dk Samia hakika ni jabali la siasa, yaani Maza hajatumia hata nguvu yaani ni sayansi tu, Leo hii pinga pinga FC ndo wanainadi ilani yetu ya CCM Huku macomrades tumechili tu.
 
Haya maneno hayakupaswa yatoke kwako mkuu!!

Unaheshima na historia kubwa sana hapa JF. Tujifunze kusamehe na kuwapenda ndugu zetu waliotangulia mbele za haki japo walitenda mabaya kwetu. Haitasaidia kitu lakini maneno kama haya ni maumivu kwa wafiwa ambao ni watoto na ndugu wa Marehemu.
Na ni fundisho pia kwao na wengine kuwa ukitenda uovu dhidi ya binadamu unaacha machukizo hata kwa familia yako na wakupendao.
Ni bahati yake tuu kuwa corona ilimfyeka, vinginevyo pengine angeishia kama Mobutu au Amin kufia ugenini au kama Saddam kula kitanzi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lisu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana

Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lisu

Chanzo: Clouds tv
Coming home Brother TL
 
Back
Top Bottom