Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Ipo tofauti ya kubaki duniani au kuondoka duniani na kuondoa watu duniani.

Wako wapi kina Lijenje Azory Ben au Mawazo?

Waliotaka kumwondoa Lissu tunalipi la kywashangilia?

Kulikoni kujifanya kuwa ndiyo pekee mlio na huruma au kujali leo SER=159931]Chizi Maarifa[/USER] ndugu misasa
Wote hao wana mazuri yao na mabaya kufa kwao kama wanadamu na sio wanyama, nikuwaombea wapunguziwe adhabu ya kabr.

Pia kama wanadamu tusiwe wakufurahia vifo vya wanadamu wenzetu,kutoa maneno ya kejeli as if tupo na tutakuwa hapa duniani milele.
 
Kuuwa watu haikubaliki. Aliyewapoteza kina Ben Azory Lijenje au kuwauwa kina Mawazo hastahili huruma.

"Kumbuka watu hao wanao ndugu jamaa na marafiki. Watu wazima hao miaka kadhaa leo hawajulikani walipo."

Aliyeshiriki la kumwua Lissu hana jina zuri zaidi ya kuwa ni mtu mwovu mwenye kustahili adhabu kali kabisa.

Wewe hudhani hivyo mkuu?
 
Kuuwa watu haikubaliki. Aliyewapoteza kina Ben Azory Lijenje au kuwauwa kina Mawazo hastahili huruma.

"Kumbuka watu hao wanao ndugu jamaa na marafiki. Watu wazima hao miaka kadhaa leo hawajulikani walipo."

Aliyeshiriki la kumwua Lissu hana jina zuri zaidi ya kuwa ni mtu mwovu mwenye kustahili adhabu kabisa.

Wewe hudhani hivyo mkuu?
Umesahau aliyemuuwa Chacha Wangwe aliyekuwa makamu Mwenyekiti wa Chadema
 
Kuuwa watu haikubaliki. Aliyewapoteza kina Ben Azory Lijenje au kuwauwa kina Mawazo hastahili huruma.

"Kumbuka watu hao wanao ndugu jamaa na marafiki. Watu wazima hao miaka kadhaa leo hawajulikani walipo."

Aliyeshiriki la kumwua Lissu hana jina zuri zaidi ya kuwa ni mtu mwovu mwenye kustahili adhabu kabisa.

Wewe hudhani hivyo mkuu?
Kama una ushahidi sawa ila kama hisia zinakutuma hivyo..

Je ukifurahia kifo chake unafaidika na nini au watarudi? Au na wewe utakuwa duniani milele?

Binafsi nawaombea wote ambao awapo duniani awe jambazi, msanii, mwizi, muuaji na wengine wapunguziwe adhabu ya kabr na kusamehewa dhambi zao. Siwezi kufurahia wala kukejeli hakuna mkamilifu.
 
Mbowe tumekuwa naye TYL, UVCCM na hata Bavicha

Hakuteleza ulimi alimaanisha
Hata Mimi nilikuwa tyl, uvccm, CCM kama walivyokuwa wengi wakiwamo kina Lissu, Slaa, Maalim Seif nk.

Mla mla leo mla Jana kala nini?

Wapi nimesema aliteleza ulimi? Ninakazia:

"Kumwelewa Mbowe si kwa kila Tom, Dick au Harry."

Hayo si maneno yangu bali beberu mwenyewe aliyetambua uwepo mazezeta katika zama zote.
 
Lisu hajakuwepo TYL usimsingizie!
 
Kama una ushahidi sawa ila kama hisia zinakutuma hivyo..

Je ukifurahia kifo chake unafaidika na nini au watarudi? Au na wewe utakuwa duniani milele?

Binafsi nawaombea wote ambao awapo duniani awe jambazi, msanii, mwizi, muuaji na wengine wapunguziwe adhabu ya kabr na kusamehewa dhambi zao. Siwezi kufurahia wala kukejeli hakuna mkamilifu.
Kuna mtu alijua mgombea Ubunge wa Chadema yuko vitani Urusi?

Lakin kifo chake tumekipokea kwa heshima na utu
 
Kwamba wewe hujui mhusika wa kupotea Kwa akina Ben, Azory au Lijenje? Wala mhusika mkuu wa kadhia ya Lissu?

Kwani mtuhumiwa huyo alikuwa hata na ubavu wa kukubali uchunguzi huru ili kama vipi umsafishe?

Kwamba nimefurahia sasa kwamba kafa? Wapi unaisoma furaha yangu hiyo?

"Kutokuwa na jema Kwa mtu wa namna hiyo hakuna maana ya kuwa nimefurahia."

Kwamba wewe unawaombea wote? Si ungependekeza magereza yafunguliwe Kwa kuanzia hapa hapa kwani charity huanzia nyumbani?

Ninakazia:

"Mhusika mkuu wa kadhia za kina Ben Azory Lijenje Lissu na za namna hiyo anastahili adhabu kali kabisa hapa duniani na hata huko mbinguni."

Habari ndiyo hiyo ndugu.
 
Not bad ila Msigwa ni mtu siyo straight forward lazima atazamwe kwa jicho la pili
 
Kuna mtu alijua mgombea Ubunge wa Chadema yuko vitani Urusi?

Lakin kifo chake tumekipokea kwa heshima na utu

"Kuna alijua mtanzania yuko vitani urusi?"

Nimemskia waziri Tax leo akipiga marufuku watanzania kujiunga na majeshi ya nchi nyingine.

"Sikumsikia akipiga marufuku Chadema kujiunga na majeshi ugenini."

Hoja nyepesi nyepesi zenu danganyaneni wenyewe.
 
Kwani alipokamatwa gaidi na kutupwa ndani ilishtakiwa Chadema?
 
Back
Top Bottom