Wewe na mambuzi wenzio ilikuwa sahihi zaidiMbowe: Wanachama wenzangu wa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na mambuzi wenzio ilikuwa sahihi zaidiMbowe: Wanachama wenzangu wa CCM
Wote hao wana mazuri yao na mabaya kufa kwao kama wanadamu na sio wanyama, nikuwaombea wapunguziwe adhabu ya kabr.Ipo tofauti ya kubaki duniani au kuondoka duniani na kuondoa watu duniani.
Wako wapi kina Lijenje Azory Ben au Mawazo?
Waliotaka kumwondoa Lissu tunalipi la kywashangilia?
Kulikoni kujifanya kuwa ndiyo pekee mlio na huruma au kujali leo SER=159931]Chizi Maarifa[/USER] ndugu misasa
Kuuwa watu haikubaliki. Aliyewapoteza kina Ben Azory Lijenje au kuwauwa kina Mawazo hastahili huruma.Wote hao wana mazuri yao na mabaya kufa kwao kama wanadamu na sio wanyama, nikuwaombea wapunguziwe adhabu ya kabr.
Pia kama wanadamu tusiwe wakufurahia vifo vya wanadamu wenzetu,kutoa maneno ya kejeli as if tupo na tutakuwa hapa duniani milele.
Duh.....na mwenyekiti Mbowe akiwemoWewe na mambuzi wenzio ilikuwa sahihi zaidi
Umesahau aliyemuuwa Chacha Wangwe aliyekuwa makamu Mwenyekiti wa ChademaKuuwa watu haikubaliki. Aliyewapoteza kina Ben Azory Lijenje au kuwauwa kina Mawazo hastahili huruma.
"Kumbuka watu hao wanao ndugu jamaa na marafiki. Watu wazima hao miaka kadhaa leo hawajulikani walipo."
Aliyeshiriki la kumwua Lissu hana jina zuri zaidi ya kuwa ni mtu mwovu mwenye kustahili adhabu kabisa.
Wewe hudhani hivyo mkuu?
Ninakazia:Duh.....na mwenyekiti Mbowe akiwemo
Mkamwona mwuaji na mwenye serikali ya mambuzi wakamwacha? Si kuwa kama aliuwawa wahusika ni ninyi?Umesahau aliyemuuwa Chacha Wangwe aliyekuwa makamu Mwenyekiti wa Chadema
Mbowe tumekuwa naye TYL, UVCCM na hata Bavicha
Alikuwa makamu Mwenyekiti wa Chadema kama Tundu LisuMkamwona mwuaji na mwenye serikali ya mambuzi wakamwacha? Si kuwa kama aliuwawa wahusika ni ninyi?
Kama una ushahidi sawa ila kama hisia zinakutuma hivyo..Kuuwa watu haikubaliki. Aliyewapoteza kina Ben Azory Lijenje au kuwauwa kina Mawazo hastahili huruma.
"Kumbuka watu hao wanao ndugu jamaa na marafiki. Watu wazima hao miaka kadhaa leo hawajulikani walipo."
Aliyeshiriki la kumwua Lissu hana jina zuri zaidi ya kuwa ni mtu mwovu mwenye kustahili adhabu kabisa.
Wewe hudhani hivyo mkuu?
Hata Mimi nilikuwa tyl, uvccm, CCM kama walivyokuwa wengi wakiwamo kina Lissu, Slaa, Maalim Seif nk.Mbowe tumekuwa naye TYL, UVCCM na hata Bavicha
Hakuteleza ulimi alimaanisha
Lisu hajakuwepo TYL usimsingizie!Hata Mimi nilikuwa tyl, uvccm, CCM kama walivyokuwa wengi wakiwamo kina Lissu, Slaa, Maalim Seif nk.
Mla mla leo mla Jana kala nini?
Wapi nimesema aliteleza ulimi? Ninakazia:
"Kumwelewa Mbowe si kwa kila Tom, Dick au Harry."
Hayo si maneno yangu bali beberu mwenyewe aliyetambua uwepo mazezeta katika zama zote.
Na hakuwahi rejesha kadi ya ccm hadi leo ila sina hakika kama anaendelea kulipiaMbowe tumekuwa naye TYL, UVCCM na hata Bavicha
Hakuteleza ulimi alimaanisha
Kuna mtu alijua mgombea Ubunge wa Chadema yuko vitani Urusi?Kama una ushahidi sawa ila kama hisia zinakutuma hivyo..
Je ukifurahia kifo chake unafaidika na nini au watarudi? Au na wewe utakuwa duniani milele?
Binafsi nawaombea wote ambao awapo duniani awe jambazi, msanii, mwizi, muuaji na wengine wapunguziwe adhabu ya kabr na kusamehewa dhambi zao. Siwezi kufurahia wala kukejeli hakuna mkamilifu.
Edwin mwenyewe ana kadi ya CCM hadi leoNa hakuwahi rejesha kadi ya ccm hadi leo ila sina hakika kama anaendelea kulipia
Kama una ushahidi sawa ila kama hisia zinakutuma hivyo..
Je ukifurahia kifo chake unafaidika na nini au watarudi? Au na wewe utakuwa duniani milele?
Binafsi nawaombea wote ambao awapo duniani awe jambazi, msanii, mwizi, muuaji na wengine wapunguziwe adhabu ya kabr na kusamehewa dhambi zao. Siwezi kufurahia wala kukejeli hakuna mkamilifu.
Kuna mtu alijua mgombea Ubunge wa Chadema yuko vitani Urusi?
Lakin kifo chake tumekipokea kwa heshima na utu
Hapo ilikuwa ulimi kutereza na nisahihishe zaidi. Hata miye sikuwapo tyl!Lisu hajakuwepo TYL usimsingizie!
Kwani alipokamatwa gaidi na kutupwa ndani ilishtakiwa Chadema?"Kuna alijua mtanzania yuko vitani urusi?"
Nimemskia waziri Tax leo akipiga marufuku watanzania kujiunga na majeshi ya nchi nyingine.
"Sikumsikia akipiga marufuku Chadema kujiunga na majeshi ugenini."
Hoja nyepesi nyepesi zenu danganyaneni wenyewe.