Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

Mnampokea nini huyo mropokaji. Hiyo ndio kazi yake kubwa kuropoka. Na kama mnafikiri inawasaidia kuropoka ngoja aje aanze kuropoka muone nini kitatokea.
Na sasa anakuja na ile ajenda ya ushoga ukijumlisha na kutukana tutaona chadema kama itapata faida au hasara tena kwa lissu.
Huku kunaitwa kuchachawa.

Sahihi kusema sasa chawa wamechachawa.

Hiiiiiii bagosha!
 
Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi.

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana.

Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lissu.

Chanzo: Clouds TV
UJINGA wa mimi....mimi....mimi...!
Sasa huyo Msigwa akimbebea mabegi Lissu kama mpagazi, kimya kimya kuna mbaya ipi?
 
Back
Top Bottom