Ubakaji wa vyama dola kama ulivyo mwingine haukubaliki.Na mtabakwa kweli kweli!
Unawapa nchi Watu wenye Uraia pacha ni kupungukiwa maarifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubakaji wa vyama dola kama ulivyo mwingine haukubaliki.Na mtabakwa kweli kweli!
Unawapa nchi Watu wenye Uraia pacha ni kupungukiwa maarifa!
Huku kunaitwa kuchachawa.Mnampokea nini huyo mropokaji. Hiyo ndio kazi yake kubwa kuropoka. Na kama mnafikiri inawasaidia kuropoka ngoja aje aanze kuropoka muone nini kitatokea.
Na sasa anakuja na ile ajenda ya ushoga ukijumlisha na kutukana tutaona chadema kama itapata faida au hasara tena kwa lissu.
UJINGA wa mimi....mimi....mimi...!Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana.
Mchungaji Msigwa amelazimika kutoendelea na Mikutano ya Musoma ili asimamie uratibu wa Mapokezi ya Lissu.
Chanzo: Clouds TV
Kweli mkuu.Kuna mtu alijua mgombea Ubunge wa Chadema yuko vitani Urusi?
Lakin kifo chake tumekipokea kwa heshima na utu
Kufa ni sadaka Mshana Jr. Usiwabeze waliotangulia, sisi wote hiyo ndio destination.Lissu is coming back health n sound... Mbaya wake ameshaoza imebakia skeleton... Matendo ya Mungu si ya binadamu
Sawa, kumbe unajua hiyo ndiyo itakuwa gear yake kurudi kibaruaniAtaitwa na madaktari wake