Mchungaji Msigwa muogope Mungu na Teknolojia

alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.

1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.

2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.

3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.

4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.

5. unashuhudia ukabila kwenye chama.

6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.

7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.

8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.

9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.

10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.

kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.

hivi ungekuwa wewe ndio msigwa, ungefanya nini?
Haya ni Maneno ya Msigwa akijificha kwenye keyboard humu JF. Kule CCM nako amechafua hali ya hewa kimataifa kwa kumnanga Rais Kurunzinza. Mropokaji mno.
 
Nimeandika kuhusu Msigwa leo asubuhi,jioni niliporudi alikuwepo assassin ananisubiri.
Tunaishi na ibilisi wengi katika nchi hii lakini uovu hautokei.
But that will change. Haiwezekani wawepo waovu lakini uovu usiwepo.
 
alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.

1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.

2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.

3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.

4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.

5. unashuhudia ukabila kwenye chama.

6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.

7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.

8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.

9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.

10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.

kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.

hivi ungekuwa wewe ndio msigwa, ungefanya nini?
Takataka
 
unapoteza muda kufikiri mimi msigwa. msigwa hana uwezo wa imani kuandika kama ninavyoandika mimi kwasababu bado anamhitaji Bwana, aokoke kabisa. ila tukija kisiasa, naunga mkono kwa alichofanya pengine mbowe ataelewa. hata TL anakosa tu pa kwenda, angekuwa na pa kwenda angeshaondoka.
Screenshot_20240721-223909.png

Je kama Msigwa angeshinda uchaguzi ule leo hii angekuwa CCM? Jambo lingine kwako, una abuse jina la Bwana Yesu.
 
Maelezo meengi alafu ujinga mtupu.Usifikiri watu ni wajinga kama wewe.Mbowe yupo sana hapo.badili agenda.ya chadema waachie wenyewe.
 
unapoteza muda kufikiri mimi msigwa. msigwa hana uwezo wa imani kuandika kama ninavyoandika mimi kwasababu bado anamhitaji Bwana, aokoke kabisa. ila tukija kisiasa, naunga mkono kwa alichofanya pengine mbowe ataelewa. hata TL anakosa tu pa kwenda, angekuwa na pa kwenda angeshaondoka.
Andiko lako linamuwakilisha yeye
 
Back
Top Bottom