Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni Maneno ya Msigwa akijificha kwenye keyboard humu JF. Kule CCM nako amechafua hali ya hewa kimataifa kwa kumnanga Rais Kurunzinza. Mropokaji mno.alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.
1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.
2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.
3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.
4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.
5. unashuhudia ukabila kwenye chama.
6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.
7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.
8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.
9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.
10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.
kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.
hivi ungekuwa wewe ndio msigwa, ungefanya nini?
Takatakaalichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.

Dr omary juma, magu........,Umashuhudia unyama wa Horace Kolimba, Komba, Kombe, Mangula, Mkulo
unapoteza muda kufikiri mimi msigwa. msigwa hana uwezo wa imani kuandika kama ninavyoandika mimi kwasababu bado anamhitaji Bwana, aokoke kabisa. ila tukija kisiasa, naunga mkono kwa alichofanya pengine mbowe ataelewa. hata TL anakosa tu pa kwenda, angekuwa na pa kwenda angeshaondoka.
Je kama Msigwa angeshinda uchaguzi ule leo hii angekuwa CCM? Jambo lingine kwako, una abuse jina la Bwana Yesu.alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.
1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.
2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.
3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.
4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.
5. unashuhudia ukabila kwenye chama.
6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.
7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.
8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.
9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.
10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.
kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.
hivi ungekuwa wewe ndio msigwa, ungefanya nini?
Maelezo meengi alafu ujinga mtupu.Usifikiri watu ni wajinga kama wewe.Mbowe yupo sana hapo.badili agenda.ya chadema waachie wenyewe.alichofanya msigwa ni kitu ambacho mtu yeyote mwenye akili angekifanya.
1. unashuhudia mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti wa maisha wakati wapo wasomi na wenye akili na uwezo kuliko yeye.
2. unashuhudia mtu analamba asali, anatokea gerezani hadi ikulu na ananyamaza kimyaaa. kama sio yule wa awali kabisa.
3. unashuhudia unyama kwa chacha wangwe.
4. unashuhudia usaliti kumpokea lowasa na sumaye na namna dr slaa alivyoondoka.
5. unashuhudia ukabila kwenye chama.
6. unashuhudia Mrema na timu yake wamekuja eneo lako la kugombea uenyekiti nyasa, anakunywa pombe pamoja na mpinzani wako nadi saa sita usiku, unapiga kelele mwenyekiti wako kimyaaa, na inasemekana mwenyekiti kaagiza wewe ndio uchinjiliwe mbali kwenye kinyang'anyiro.
7. wajumbe wawili waliotakiwa kupiga kura hawajapiga ili wewe ushindwe.
8. uchaguzi unaisha, unalalamika, lakini kimyaaa kwa king mbowe.
9. na siri nyingii ambazo anazo atazimwaga wakati wa kampeni mwakani.
10. Tundu Lisu hana hata gari wakati yeye ndiye mpiganaji mkuu kuliko hata mbowe, hadi anachangiwa kununua gari, hata mbowe hapigi changizo wakati kuna pesa kibao za ruzuku kutokana na covid 19.
kwa kifupi, hata Tundu Lisu, anakosa tu pa kwenda, amekichoka chama, amemchoka mbowe, amechoka ukabila. kungekuwa na chama kingine nje ya ccm, Tundu Lisu angeshaenda kitambo sana. na Tundu Lisu naye, ni mwanadamu, naamini uzalendo utamshinda muda si mrefu, atajiunga na ccm kwasababu hana chama kingine kwa sasa, chadema imemwacha kama anapambana peke yake na mwenyekiti inaonekana zile asali huwa hamgawii.
hivi ungekuwa wewe ndio msigwa, ungefanya nini?
Anatumia jina la yesu alafu hana akili.Je kama Msigwa angeshinda uchaguzi ule leo hii angekuwa CCM? Jambo lingine kwako, una abuse jina la Bwana Yesu.
Usimuamini hata siku moja mwanasiasa wakati wowote anabadilika 😄
Ova
Watu wana bills za kulipaKaribu CCM MSIGWA. Karibu sana.
Umenikumbusha Maneno ya Mwana farsafa nguli Tanzania, the late Ruge Mutahaba. Aliwahi kusema kuwa, "Muogope Mungu, Lakini pia ogopa teknologia".
Hii video clip unaikumbuka lakini?
View attachment 3030474
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
- Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu
- Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
- Mchungaji Msigwa alitaka wagombea wawili nafasi ya Mwenyekiti Taifa
Andiko lako linamuwakilisha yeyeunapoteza muda kufikiri mimi msigwa. msigwa hana uwezo wa imani kuandika kama ninavyoandika mimi kwasababu bado anamhitaji Bwana, aokoke kabisa. ila tukija kisiasa, naunga mkono kwa alichofanya pengine mbowe ataelewa. hata TL anakosa tu pa kwenda, angekuwa na pa kwenda angeshaondoka.