Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona hayakuwa sahihi.
Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.
Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.