PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Najutia kwenda CCM, bora ningefanya maamuzi tofauti

PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Najutia kwenda CCM, bora ningefanya maamuzi tofauti

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hawa wanasiasa hawa wenye uchungu na wananchi ni 1% tu hivi kwanini tanzania isipitishe sheria ya mgombea mmoja mmoja tu na sio lazima awe mwanachama wa chama fulani
Hawafiki 1%.

Watawala wanaogopa mgombea binafsi kwa sababu si rahisi kununulika kwa sababu hawana minyororo ya vyama. Hofu hii hasa hasa ni ngazi za mitaa, vijiji, vitongoji, udiwani na ubunge.
 
Once a liar and cheater ALWAYS a liar and a cheater. Never EVER trust a liar and a cheater
 
Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona hayakuwa sahihi.

Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.

Na majuto ni mjukuu 🐒
 
hivi kwanini tanzania isipitishe sheria ya mgombea mmoja mmoja tu na sio lazima awe mwanachama wa chama fulani
Ni ngumu kwa Tanzania kuwa na Mgombea Binafsi sababu wanavyama vya Siasa ndio wanaokuwa wa kwanza kukataa uwepo wa mgombea binafsi; Mfano hapo Msigwa anasema, hakuna mtu anayeweza kuwa mkubwa kuliko Chama (CHADEMA). Vivyo hivyo ndivyo wanachama naarufu na wakongwe wa CCM wanavyoamini kuhusu ugombea binafsi, kuwa hakuna mtu anayeweza kuwa mkubwa kuliko CCM

Kama CCM walivyokwamisha mchakato wa kupata Katiba huru, vyama pinzani pia vinakwamisha uwepo wa mgombea huru.

Chama cha siasa kinatumika kama fimbo ya kumchapia mwanachama anayekwenda kinyume na maslahi ya chama, hata kama maslahi hayo ni kwa faida ya wananchi wengi.
 
Kwani huko CCM ulijipeleka tu mwenyewe?
Kama Kuna mambo walikuahidi hawakutimiza yaweke wazi, pia kama walikupa hela ulizila zimeisha pia weka wazi ili tujue,

Sio tuwalaumu CCM kumbe pengine ulinunuliwa kama bango la matangazo, ndio maana wakubebesha picha za Samia,
Huyu alimkimbia Mbowe. Hii ni kawaida kwa wana siasa, wapo pia waliomkimbia Lissu baada ya kuchukua uongozi. CHAUMA OYEE
 
Huyu alimkimbia Mbowe. Hii ni kawaida kwa wana siasa, wapo pia waliomkimbia Lissu baada ya kuchukua uongozi. CHAUMA OYEE
Sawa alimkimbia Mbowe, na kama shida yake ilikuwa ni Mbowe, yale mabango ya Samia na kuitukana CDM ni Mbowe alisababisha? Hakulipwa chochote?

Pitia kauli zake uone, huyu na Selasini wamerudi kwa kazi maalum, muda utaongea tusubiri
 
Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona hayakuwa sahihi.

Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.

Alitakiwa apumzike siasa kama alivyofanya Dk Silaa!
 
Huyu angekua mbunge au DC angeongea maneno aya?
 
Back
Top Bottom