Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sawa Msigwa umeona mbele zaidi!
Ni kawaida binadamu kufanya makosa.Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona hayakuwa sahihi.
Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.
Hili ndilo swali la msingi kwake kwa sasa,Tujue alipata vipande vingapi vya pesa ili kukiuza chama chake?Nini kilimfanya akimbilie huko je alipopokelewa pia alienda kufanya interview ya uongo kama hii
Zimemkaa sawa sasa!Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona hayakuwa sahihi.
Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.
Dish liliyumba!Zimemkaa sawa sasa!
Hawa wanasiasa hawa wenye uchungu na wananchi ni 1% tu hivi kwanini tanzania isipitishe sheria ya mgombea mmoja mmoja tu na sio lazima awe mwanachama wa chama fulaniHili ndilo swali la msingi kwake kwa sasa,Tujue alipata vipande vingapi vya pesa ili kukiuza chama chake?
Mpaka sasa bado anakitete tuDish liliyumba!
Kwani huko CCM ulijipeleka tu mwenyewe?Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona hayakuwa sahihi.
Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.
Bado Lukas Mwashambwa na tlahtlah!Egoism ni kitu kibaya sana kwa mwandamu. Bora ameligundua hilo mapema.
Hao ni machawa. Bosi wao akitoka madarakani ndiyo akili zao nazo zitarejea kichwani.Bado Lukas Mwashambwa na tlahtlah!
Hawa itabidi kwanza,wake Lock up mpaka kuapishwa kuishe ndo watoke Bure!Hao ni machawa. Bosi wao akitoka madarakani ndiyo akili zao nazo zitarejea kichwani.