Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 2,153
- 3,140
Hawafiki 1%.Hawa wanasiasa hawa wenye uchungu na wananchi ni 1% tu hivi kwanini tanzania isipitishe sheria ya mgombea mmoja mmoja tu na sio lazima awe mwanachama wa chama fulani
Kuna haja ya kuruhusu ili swalaHawafiki 1%.
Watawala wanaogopa mgombea binafsi kwa sababu si rahisi kununulika kwa sababu hawana minyororo ya vyama. Hofu hii hasa hasa ni ngazi za mitaa, vijiji, vitongoji, udiwani na ubunge.
Thats not even a liar, thats a Traitor. What do we do to traitors? We Eliminate them!Once a liar and cheater ALWAYS a liar and a cheater. Never EVER trust a liar and a cheater
Na majuto ni mjukuu 🐒Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona hayakuwa sahihi.
Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.
Ni ngumu kwa Tanzania kuwa na Mgombea Binafsi sababu wanavyama vya Siasa ndio wanaokuwa wa kwanza kukataa uwepo wa mgombea binafsi; Mfano hapo Msigwa anasema, hakuna mtu anayeweza kuwa mkubwa kuliko Chama (CHADEMA). Vivyo hivyo ndivyo wanachama naarufu na wakongwe wa CCM wanavyoamini kuhusu ugombea binafsi, kuwa hakuna mtu anayeweza kuwa mkubwa kuliko CCMhivi kwanini tanzania isipitishe sheria ya mgombea mmoja mmoja tu na sio lazima awe mwanachama wa chama fulani
Huyu alimkimbia Mbowe. Hii ni kawaida kwa wana siasa, wapo pia waliomkimbia Lissu baada ya kuchukua uongozi. CHAUMA OYEEKwani huko CCM ulijipeleka tu mwenyewe?
Kama Kuna mambo walikuahidi hawakutimiza yaweke wazi, pia kama walikupa hela ulizila zimeisha pia weka wazi ili tujue,
Sio tuwalaumu CCM kumbe pengine ulinunuliwa kama bango la matangazo, ndio maana wakubebesha picha za Samia,
Sawa alimkimbia Mbowe, na kama shida yake ilikuwa ni Mbowe, yale mabango ya Samia na kuitukana CDM ni Mbowe alisababisha? Hakulipwa chochote?Huyu alimkimbia Mbowe. Hii ni kawaida kwa wana siasa, wapo pia waliomkimbia Lissu baada ya kuchukua uongozi. CHAUMA OYEE
Alitakiwa apumzike siasa kama alivyofanya Dk Silaa!Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona hayakuwa sahihi.
Amesema alijifunza kutokana na tukio hilo kama “darasa” la maisha.