kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Kwani uongo? We unamuonaje Magufuli? Yeye si ndiye anayeamua na kupanga chochote na mahali popote ktk taifa hili?daaaaah kaka apa unazingua "Bwana wa mabwana ...alfa na omega"....Mungu hapendi hii....jina lake ni lake peke yake na ana wivu nalo angalia sana kaka...angalia usijerua tiktaka na msuli ukweni...