kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Kwani uongo? We unamuonaje Magufuli? Yeye si ndiye anayeamua na kupanga chochote na mahali popote ktk taifa hili?daaaaah kaka apa unazingua "Bwana wa mabwana ...alfa na omega"....Mungu hapendi hii....jina lake ni lake peke yake na ana wivu nalo angalia sana kaka...angalia usijerua tiktaka na msuli ukweni...
amna kitu kam hicho.....kwan yy ndo kaamua niamke leo....? nile leo..? alfa na omega mana ake hafi hana mwanzo wala mwisho, sasa magu hafi....?Kwani uongo? We unamuonaje Magufuli? Yeye si ndiye anayeamua na kupanga chochote na mahali popote ktk taifa hili?
Ndugu zako wa damu haoHahahaaaa! Umenikumbusha Jafo na Mwigullu!
punguza hiyo bangi kk.....amna kitu kam hicho.....kwan yy ndo kaamua niamke leo....? nile leo..? alfa na omega mana ake hafi hana mwanzo wala mwisho, sasa magu hafi....?
Duuuh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huyu bwana anatapatapa nazani anajua muda wake kunyakuliwa na corona u karibu,maana anatilia mashaka kila kitu kuanzia barakoa, furmigation, mpaka chanjona hisi kwa kuwa hana tena viumbe hai(wapinzani) wa kuwarushia lawama.
Ohooo! π π πamna kitu kam hicho.....kwan yy ndo kaamua niamke leo....? nile leo..? alfa na omega mana ake hafi hana mwanzo wala mwisho, sasa magu hafi....?
Dada unapokuwa na mtu sehemu kama kitandani au chobingo akiwa hayupo vizuri kichwani ukamuuliza kitu anaweza kukujibu lolote lile ili akupate. haya mambo uwe unamuuliza mkiwa sober,mkiwa katika hali ya kawaida. na pia si unajua mapenzi yalivyo? anaweza akakwambi hivi ili umwone yeye ni mwanaume wa pekee zaidi kuliko wengine..uwe makini sister joana.Msigwa alikuwa muuza mitumba pale Miyomboni, alivyokuja Mrema ndio akawa anamuita kiutaniutani " mchungaji " na jina hilo likaenea
Kaka yake ndio Mchungaji na ana Kanisa la kilokole Mtwivila!
Umekasirika kuujua ukweli kwamba Msigwa alikuwa muuza mitumba?Dada unapokuwa na mtu sehemu kama kitandani au chobingo akiwa hayupo vizuri kichwani ukamuuliza kitu anaweza kukujibu lolote lile ili akupate. haya mambo uwe unamuuliza mkiwa sober,mkiwa katika hali ya kawaida. na pia si unajua mapenzi yalivyo? anaweza akakwambi hivi ili umwone yeye ni mwanaume wa pekee zaidi kuliko wengine..uwe makini sister joana.
amna kwangu mm sioni kama ni sawa asee.....Ohooo! π π π
Watawala wengi wa ngazi za juu wengi wao hujiona kama "Miungu" flani hivi ambayo haiwezi kufa. Nakumbuka incidents za Mao. Kwa hiyo, sijakosea kutumia neno "Alfa na omega" sababu Magufuli anapenda kunyenyekewa, kuogopwa na anawivu kama ilivyo kwa mwenyezi Mungu wetu.
kuna mzee flan hiv alisifiwa sana kwenya bible.....alitoa speecha kali hadi watu wakasema anaonga kama Mungu....Mungu alichomfanya huyu jamaa hatokaa asahauOhooo! π π π
Watawala wengi wa ngazi za juu wengi wao hujiona kama "Miungu" flani hivi ambayo haiwezi kufa. Nakumbuka incidents za Mao. Kwa hiyo, sijakosea kutumia neno "Alfa na omega" sababu Magufuli anapenda kunyenyekewa, kuogopwa na anawivu kama ilivyo kwa mwenyezi Mungu wetu.
Hivi mnalazimishwa kuwa ukiwa mfuasi wa jiwe lazima uwe muongo muongo johnthebaptist?Msigwa alikuwa muuza mitumba pale Miyomboni, alivyokuja Mrema ndio akawa anamuita kiutaniutani " mchungaji " na jina hilo likaenea
Kaka yake ndio Mchungaji na ana Kanisa la kilokole Mtwivila!
Ninavyomjua huyu Baba,wakiendelea kumpa maiki marakwa Mara kanisani iko siku atajisahau atafanya uteuzi ama utenguzi Wa maaskofu.Thubutu!
Binafsi kama mkatoliki hua sipendezewi na kinachotokea kwenye misa takatifu anazohudhuria mheshimiwa maana watu huondolewa attention kwa Muumba wao na utulivu wa sara zao hudumazwa na matukio mbali kama vile ya maafisa usalama,kamera,speech zake.Angalau angekua anapewa hizo mambo wakati wa XMAS,PASAKA na Mwaka mpya ili kuheshimu ibada.
Lete wewe ukweli!Hivi mnalazimishwa kuwa ukiwa mfuasi wa jiwe lazima uwe muongo muongo johnthebaptist !!??
Kumbuka uongo ni dhambi lakini pia ni kosa.
Baba wa uongo ni ......
Usisahau ya rais wa KuwaitAnakwenda kutukumbisha siku ina masaa 48. Sasa huyo alikuwa mwalimu. Tutegemee nini kwa wanafunzi walio pita mikononi mwake? Kina Lugola[emoji134][emoji134]