Mchungaji Msigwa: Rais Magufuli huenda kanisani kama muumini au Rais?

Yaani utopolo wote huu umeuandika juu ya Msigwa!? Aisee! Swali lake hujaliona!?
 
Umekasirika kuujua ukweli kwamba Msigwa alikuwa muuza mitumba?

Tena kwa taarifa yako hata kisiasa Msigwa alibebwa sana na marehemu Gervas Kalolo wa pale mashine mbili stendi!
Hivi kuuza mitumba ni moja ya zile kazi haramu eeh!
 
kama jiwe anahamu ya kubwabwaja arudishe hotuba za kila mwezi kama enzi za jk. kanisani tunaenda kusikiliza neno la Mungu sio neno la rais.
 
Tunabeza mad hii lakini anayehoji yuko sahihi. Anaweza akasema hayo katika mikutano yake kama Rais, katika kiao kama mwenyekiti wa chama chake. Lakini hawezi kwenda kanisani akapewa nafasi ya kuzungumza na kisha akalihutubia taifa. Kisha baadae akitokea mtu akasema asichokipenda Rais, tunakuja kusema kuna haja ya kuzuia viongozi wa dini kujihusisha na siasa!!

Tukitaka kuondoa ushiriki wa dini katika siasa, tusisahau na kuondoa siasa katika dini (kama kutumia religious space and leader kutafuta kuungwa mkono). Tunasikia Tumsifu Yesu, Kristu, Bwana Asifiwe na Asalam Aleikhum na hayo mawili ya kwanza ni udini - Asalam aleykhum peke yake ndio salamu ya umma kwa lugha ya kiarabu!
 
duh, we jamaa huna akili kabisa...hivi kweli unaona km ingewezekana kuweka kipengere cha kihutubia rais kwenye liturgy!!! rais ni mmoja makanisa ni mengi ahutubie akiwa kanisa lipi? vitu vingine sio vya kuhoji acheni upumbavu nyau nyie, kwanza rais akialikwa kuzungumza kanisani kwann inakua nongwa!!!?
 
Huyu bwana anatapatapa nazani anajua muda wake kunyakuliwa na corona u karibu,maana anatilia mashaka kila kitu kuanzia barakoa, furmigation, mpaka chanjona hisi kwa kuwa hana tena viumbe hai(wapinzani) wa kuwarushia lawama.
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…